Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pe

UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa upo umuhimu mkubwa kwa jamii kuwa na uhakika wa chakula na lishe bora kwa sababu hio ndio nguzo imara…

Read More

Dk.Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amemtumia salamu za pongezi Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping kwa kutimiza miaka 69 tokea kuundwa kwa Taifa…

Read More

Serikali ya Zanzibar itaendelea kutoa mashirikiano na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kutoa mashirikiano kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa…

Read More

Dk.Shein amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela kufuatia ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere…

Read More

Kenya na Zanzibar zinauhusiano wa kihistoria ushirikiano wao utakuza uchumi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Zanzibar zinauhusiano wa kihistoria hivyo ushirikiano katika sekta ya biashara kati ya pande…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusin Unguja Mhe.Hassan Khatib Hassan alipotembelea Eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika ziara maalum aliyoifanya Tunguu Wilaya

DK.SHEIN AMEFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA ENEO LINALOTARAJIWA KUJENGWA MAHKAMA KUU YA ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafuata utawala bora na haiko tayari kupambana na wananchi wake na…

Read More

Kuanzishwa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo ni mikakati ya Zanziba kurejea katika uasili wake

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kuanzishwa kwa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo ni miongoni mwa mikakati ya kuirejesha Zanzibar katika uasili…

Read More