Dk.Shein amewasili Kisiwani emba kwa ziara maalum.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege Chakechake Pemba, akiwa katika ziara maalum ya kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika Futari Maalum, inayotarajiwa kufanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe Hemed Suleiman, wakielekea katika chumba cha mapumziko baada ya kuwasili Kisiwani Pemba,akiwa katika ziara maalum ya kujumika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika futari aliyowaandalia, inayotarajiwa kufanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba, akiwa katika ziara Maalum ya Kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika futari maalum, inayotarajiwa kufanyika
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Mama Mwanamwema Shein, wakielekea katika chumba cha mapumziko katika Uwanja wa Ndege wa Chakechake Pemba baada ya kuwasili,akiwa katika ziara Maalum ya kujumuika na Wananchi wa Mikoa Miwili ya Pemba katika hafla ya futari inayotarajiwa kufanyika kulia Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Hemed Suleiman
Dk. Shein azungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo iliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt. Idrisa Muslim Hijja, wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar kushoto Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe. Riziki Pembe Juma, Naibu Waziri wa Eilumu na Mafunzo ya Amali Mhe. Simai Mohammed Said na Viongozi wa Idara za hiyo wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akizungumza cna Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.kulia Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Dkt. Idrisa Musli Hijja na Naibu Katibu Mkuu Ndg Abdalla Mzee.
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma akitowa maelezo ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yake wakati wa mkutano huo, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kuliac Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said
BAADHI wa Maofisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yao.
BAADHI wa Maofisa wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara yao.
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Ndg. Abdalla Mzee, akisoma Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, wakati wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, kushoro Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Dkt. Idrisa Muslim Hijja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua wa Utekelezaji wa Mpango Kazi Wiizara ya Biashara Viwanda Zanzibar, katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar, katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa mwezi wa Julai 2018 hadi March2019.
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali akisoma taarifa ya Wizara yake wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndg. Ali Khamis.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndh Ali Khamis,akisoma taaripa ya Matumizi na Mapato ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizatra ya Biashara na Viwanda Zanzibar, wakati wa mkutano huo uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
MKURUGENZI wa Idara ya Masoko Dkt. Abdallah Rashid Abdallah akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi,uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
MKURUGENZI wa Idara ya Biashara Ndg.Khamis Ahmada Shauri,akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi, katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
BAADHI ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali kulia na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Ali Khamis wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango wa Wizara ya Biashara na Viwanda kwa mwezi wa Julai 2018 na Marchi 2019, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar, wakiwa na Maofisa wa Idara za Wizara hiyo.
Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisoma Mpango Kazi wa Utekelezaji wa Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg Ali Khalil Mirza, wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2019 hadi Marc
KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Ali Abdalla akiwasilisha Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kuazi Julai 2019 hadi Marchi 2019,uliofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.kulia Mshauri wa Wizara ya Afya Zanzibar Dr. Mohammed Jidawi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi
VIONGOZI wa Wiuzara ya Afya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ikulu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar kwa kipindi cha Julai 2018 hadi Marchi 2019, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
NAIBU Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar Mhe. Harusi Said Suleiman akizungumza wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar.
MKURUGENZI Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dr. Fadhil Mohammed akichangia wakati wa Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar.wakati wa mkutano huo.
MKURUGENZI wa Bohari Kuu ya Dawa Zanzibar Dr.Zahrani Ali Hamad, akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpongo Kazi wa Wizara ya Afya Zanzibar. uliofanyika katika ukumbi wa mkutano Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
MKURUGENZI Mkuu Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dr.Dr. Mayasa Salum Ally akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mipango Kazi Wizara ya Afya uliofanyika Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
BAADHI ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
KATIBU Mtendaji Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ndg. Ahmed Abdraman Rashid akichangia wakati wa mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar
MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
MAOFISA wa Idara za Wizara ya Ardhi Nyumba Maji na Nishati Zanzibar wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar.
Dk.Ali Mohamed Shein amezungumza na Balozi wa Brazil Nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Heshima wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Zanzibar Mhe. Abdulsamad Abdulrahim, alipowasili katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar, katikatika Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe.Antonio Augusto Cesar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania.Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo wakati akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, alipofika Ikulu Zanzibar kwa kujitambulisha na mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Mlango (Zanzibar Door) Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, baada ya mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja kushoto Balozi wa Shirikisho la Jamuhuri ya Brazili Nchini Tanzania Mhe. Antonio Augusto Cesar, Afisa wa Ubalozi wa Brazil Bi. Daniella Xavier na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu na kulia Balozi wa Heshima Shirikisho la Jamuhuri ya Brazil Zanzibar.Bwa. Abdulsamad Abdulrahim na Kaimu Mkurugenzi Ofisi ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Zanzibar,Balozi Mohammed Hamza. wakiwa katika picha ya pamoja.