Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amechukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa CCM katika kuitikia dua kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza ka Mapinduzi Hayati Sheikh Abeid Amani Karume alipofika katika viwanja vya kaburi Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.
VIJANA wa UVCCM wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuchukua fomu ya Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi na kuwasalimia akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipita katika mitaa ya michezani akielekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akitokea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
VIJANA Stronger With Mwinyi wakihasasisha wakati wa Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuchukuwa Fomu Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Cha Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono Wananchi na kuwasalimia akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipita katika mitaa ya michezani akielekea Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar akitokea Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha mkoba wake ukiwa na Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea Urais leo 30-8-2025 katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Maisara Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina akizungumza na kutowa maelezo wakati wa zoezi la kukabidhi Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar, kwa Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni wakati alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025 kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Thabit Idarous Faina na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kuchukua Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa CCM Zanzibar
VIJANA wa UVCCM wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuchukua fomu ya Urais Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
VIJANA Stronger With Mwinyi wakihasasisha wakati wa Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kuchukuwa Fomu Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025
VIJANA madereva wa Bodaboda Zanzibar wakishiriki katika zoezi la kumshindikiza Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025.

Rais wa Zanzbar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & Spa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Wafanyakazi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Hamida Mussa Khamis na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi.Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar , kwa ajili ya ufunguzi wa hoteli hiyo iliyoko katika Mkoa wa Kusini Unguja katika Kikjiji cha Kikungwi, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025

VIJANA wa Kikundi cha uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati wa ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025 katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Hoteli ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, baada ya kuifungua leo 16-8-2025, iliyoko katika kijiji cha kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja
WANANCHI wa Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Mradi wa Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua hoteli hiyo iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Wilaya ya Kati Unguja ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Hoteli ya Kitalii ya Zanbreeze Beach Resort & SPA Zanzibar, iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Hoteli ya Kitali ya Zanbreeze Beach Resort &SPA; Zanzibar iliyoko katika Kijiji cha Kikungwi Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 16-8-2025.
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Msolopa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mwalimu Mkuu wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Karimah (Msolopa) Zanzibar. Ustadh Mohammed Salum, baada ya kumaliza mazungumzo na Uongozi huo na (kulia kwa Rais) Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyatil Karimah (Msolopa) baada ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Al Madrasat Swifat Nabawiyati Karimah (Msolopa) ukiongozwa na Mlezi wa Jumuiya ya Zawiya Kadiria Tanzania Sayyid Othman Abdulkadir Othman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-8-2025

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuiya na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya Kuimombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025

WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Dini na Wananchi katika kuitikia dua, ikisomwa baada ya kumalizika kwa Dua maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali Suleiman na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali
Taarab Rasmi na Chakula Ikulu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kumaliza kwa hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiagana na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza wakati wa kumalizika kwa Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Kikunchi cha Taarab cha Taifa cha Muzicul Club wakitumbiiza Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifuatana na Viongozi wengine wakienda kutunza wakati Vikundi vya Taarab vilipotumbiza jana Ikulu katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla (wa pili kushoto) Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Abdulrahman Kinana (kushoto) Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Doto Biteko na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman wakiwa katika hafla ya Taarab rasmi na chakula cha Usiku katika viwanja vya Ikulu jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa mgeni wa heshma katika Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza.