RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEINN MWINYI MGENI RASMIN FAINALI ZA TUZO ZA KIMATAIFA ZA QURAN TUKUFU UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Yeman. Galal Hamdi Saeed,baada ya kuibuka mshindi wa Kwanza katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO ya Mshindi wa Kitaifa ya Quran Tukufu Tanzania Sheikh Suleiman Omar (Mwalimu Sule) kutoka Zanzibar, wakati wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar sa Salaam leo 16-4-2023, na (kulia kwake) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Alhajj Dk.Abdulmajid Nsekela
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Pili wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Sweden Abubaker Sharif Abubaker ,baada ya kuibuka mshindi wa Pili katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Tatu wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania, kutoka Nchini Tanzania Abdul-Wahabu Daudi Biro,baada ya kuibuka mshindi wa Tatu katika mashindano hayo ya Kimataifa ya Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Mshiriki wa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tukufi Tanzania, ni mshiriki mwenye umri mdogo wa miaka 10 kutoka Nchini Bangladesh MD Sadikur Rahman, baada ya kumkabidhi dola 500, zilizotolewa na Benki ya CRDB (kushoto ) Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Alhajj Dk.Abdulmajid Nsekela, baada ya kumalizika kwa mashindano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kuhifadhi Quran Tanzania Sheikh. Othman Kaporo, baada ya kumalizika kwa Mashindano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa za Quran Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa Mashindano ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa Mashindano ya Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
MSHIRIKI wa Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Nchini Bangladesh MD Sadikur Rahman akiwa na umri wa miaka 10, akishiriki katika mashandano hayo ya Kimataifa yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023, na kuzawadiwa Dola 500 na Benki ya CRDB kwa kuwa mshiriki mwenye umri mdogo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mashidano ya Fainali ya TUZO za Kimataifa ya Quran TukufuTanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam leo 16-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh.Hamid Masoud Jongo.
WASHIRIKI wa Fainali ya Tuzo za Kimataifa za Mashindano ya Quran Tukufu Tanzania yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati akihutubia baada ya kukabidhi zawadi kwa washindi wa mashindano hayo yaliofanyika
MSHIRIKI wa Fainali za TUZO za Kimataifa za Quran Tukufu Tanzania kutoka Zanzibar. Fahadi Haji Ali akisoma Quran wakati wa mashndano hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
UGAWAJI WA SADAKA MKOA WA MJINI MAGHARIBI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia)) alipokuwa akimakabidhi Bi.Saina Juma yahya (kulia) wa Donge mwenye Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia)) alipokuwa akimakabidhi Bi.Saina Juma yahya (kulia) wa Donge mwenye ulemavu wa Ngozi (Albino) sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, katika hafla ya ugawaji wa kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi viwanja Mnarani Mwembekisonge.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa katika picha na Watoto wenye ulemavu wa Ngozi (Albino) mara baada ya zoezi la utoaji wa sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo viwanja Mnarani Mwembekisonge
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na makundi mbali mbali yenye mahitaji maalum katika hafla ya kuwakabidhi sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika viwanja Mnarani Mwembekisonge
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akimkabidhi Miwani Mtoto Maliha Mohamed Juma na mdogo wake Maitham Mohamed Juma wakiwa na ulemavu wa Ngozi (Albino) wakaazi wa Mombasa "B" katika hafla ya sadaka ya chakula kilichotolewa na Jumuiya ya Maendeleo Zanzibar (ZIDO) kupitia Mfadhili Mkuu Bi.Rehana Mirali, kwa ajili ya Mfungo wa mwezi Mtukufu Ramadhani katika Mkoa wa Mjini Magharibi leo viwanja Mnarani Mwembekisonge
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUSSEIN MWINYI AKABIDHI MSAADA WA FUTARI KWA WANANCHI WA MKOA WA MJINI MAGHARIBI UNGUJA WA MAKUNDI MAALUM
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bwa.Hashim Mashaka Salim, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Hidaya Hana Mrikisisa, baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidha msaada wa futari na Tende Bi.Fauzia Rajab Shaban,baada ya kumalizika kwa hafla ya futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalum, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 8-4-2023, na (kulia kwa Rais)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe, Haroun Ali Suleiman,na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEONGOZA WANANCHI WA ZANZIBAR KATIKA KISOMO NA DUA YA KUMUOMBEA MAREMEMU SHEIKH ABEID AMANI KARUME LEO.
SHEIKH.Jaffar Abdalla Ramadhan akihitimisha kisoma cha Hitma na dua, ya kumuombea Rais wa kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-4-2023.
MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi akisoma dua baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh. Abeid Amani Karume,iliyofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-4-2023 na (kulia kwa Mufti) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango na Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj.Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Mufti Mkuu ) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa.
BAADHI ya Wananchi waliohudhuria kisoma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, wakiitia dua ikisoma na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani) kisomo hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
MAMU Mkuu wa Msikiti wa kwa Mtoro Dar es Salaam Sheikh. Abass Ramadhan akitowa mawaidha wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, baada ya kumalizika kwa dua na kisomo cha hitma cha kumuombea marehemu kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja leo 7-4-2-23
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika katika kuitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Marehemu Sheikh.Abeid Amani Karume iliyofanyika leo 7-4-2023,katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na ((kulia kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, Rais Mstaaf wa Zanzibar Alhaj Dkt. Amani Karume na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa
RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AMEUFUNGUA JENGO LA MSJID AL -JUMAA DUNGA KIEMBENI WILAYA YA KATI UNGUJA NA KUJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA SALA YA IJUMAA LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 7-4-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni, baada ya kuufungua leo 7-4-2023 na kujumuika na Wananchi wa Dunga katika Ibada ya Sala ya Ijumaa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na kujumuika na Wananchi wa Dunga katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo leo 7-4-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Imamu Mkuu wa Masjid Al Jumaa Dunga Kiembeni Sheikh. Khamis Mabrouk Abdalla na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana
MUONEKANI wa Jengo jipya la Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni uliofunguliwa leo 7-4-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi, na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya kufungulia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Masjid Al-Jumaa Dunga Kiembeni Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 7-4-2023