Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi azungumza na Balozi wa Finland nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ikiwa katika akizungumza na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika Ukumbu wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe.Theresa Ztting, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 11-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Finland Nchini Tanzania Mhe. Theresa Zitting, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 11-10-2023
Ujumbe wa Kijeshi kutoka Nchini india
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar, Jenerali Manoj Pande Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Jenerali Manoj Pande , Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo na ujumbe huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akipokea zawadi ya kutoka kwa Jenerali Manoj Pande Kiongozi wa Ujumbe wa Kijeshi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka Nchini India walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya mazungumzo na ujumbe huo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka nchini India (kulia kwa Rais) wakiongozwa na Jenerali Manoj Pande walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Jeshi la Nchi Kavu kutoka nchini India wakiongozwa na Jenerali Manoj Pande (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akiwakaribisha Viongozi wa Ujumbe wa Jeshi la Nchi Kavu la India wakiongozwa na Jenerali Manoj Pande walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Mabalozi wamemuaga Mheshimiwa Rais Dk Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mabalozi (kulia) walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Baadhi ya Mabalozi walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania katika Nchi mbali mbali Duniani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo walipofika kujitambulisha na kumuaga Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Hassan Mwamweta anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Berlin na Ujerumani akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summiti) katika Ukumbi wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akiufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati akiufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan,uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023
WASANII wa Kikundi cha Ngoma kutoka Kijiji cha Makumbusho Jijini Dar es Salaamu wakitowa burudani wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summiti) uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkuu wa Mipango wa Taasisi ya Girl Effect Tanzania.Bi.Rita Moses Mbeba, wakati akitembelea banda hilo katika maonesho ya Taasisi mbalimbali za Afya Tanzania, kabla ya kufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023. na (Kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Tanzania Mhe. Ummy Mwalimu, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu leo 3-10-2023, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Afisa Masoko wa Hospitali ya Aga Khan Tanzania Rukhsar Kanji , wakati akitembelea mabanda ya maonesho ya Taasisi mbalimbali za Afya Tanzania, kabla ya kuufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) uliofanyika 3-10-2023 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Rais wa THS Dkt.Omary Chillo, wakimsikiliza Sister Mary Shadrack alipotembelea banda la OR –TAMISEMI Idara ya Afya na Ustawi wa Jamii na Lishe, kabla ya kufungua Mkutano wa Kumi (10) wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit) uliofanyika leo 3-10-2023 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaamu, akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan
TAMASHA LA KILIMO HAI KIZIMBANI ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofanyika katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofanyika katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma wakati alipokuwa akitoa salamu zake katika hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai lilifunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
Viongozi wa mbali mbali walioalikwa katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
Wananchi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
Banda la Bidhaa za Mwani katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar ni miongoni mwa washiriki katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipokea zawadi kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic (kushoto) wakati wa Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai,
Baadhi ya Vikundi vya wajasiria mali walioshiriki katika Tamasha la Kilimo Hai lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo katika viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) akipata maelezo kuhusu tunda la passion na mazao mwengine kutoka kwa Mjasiriamali Mama Asha Abdalla Juma wa Kikundi cha Msonge Organic (kushoto) wa Taasisi ya Moswery Agribussiness Solution LTD, wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (katika) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Nuru Mtema (kushoto) wa Taasisi ya Karibu Edu FoundationTanganyika Organic , wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo hai, leo katika Viwanja vya Maonesho Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa Taasisi ya ZOI Dkt.Mwatima Abdala Juma (katika) Waziri wa Kilimo,Umwagiliaji,Maliasili na Mifugo Mhe.Shamata Shaame Khamis
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakisalimiana na Viongozi walipowasili Kizimbani Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Ufunguzi wa Tamasha la Kilimo Hai lililojumuisha Taasisi mbali mbali na Vikundi vya Wajasiriamali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Ndg.Pascal Stephano (kushoto) wa Taasisi ya Moswery Agribussiness Solution LTD, wakati wa ufunguzi wa maonesho tamasha la Kilimo hai,