Dk.Shein,akizungumza na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake
RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu, alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga rasmin kwa kumaliza muda wake wa Kazi BOT, hafla hiyo imefanyika Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu na maofisa wa BOT aliofuatana nao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu.
Uzindua wa umeme katika kisiwa cha Fundo kilichopo Jimbo la Gando Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akibonyeza kitufe kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Kisiwa cha Fundo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umeme.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Maji Ardhi Mazingira na Nishati Mhe. Salama About Talib alipowasili katika Kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme
Viongozi mbali mbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
WANAFUNZI wa Madrasatul Hidaya Islamia ya Tumbe wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya uzinduzi wa Umeme
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia wananchi waliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
Baadhi ya wananchi aliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
Viongozi mbali mbali pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
Baadhi ya wananchi aliohudhuria katika uzinduzi wa Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kipazia kuashiria kuuzindua Umeme katika Kisiwa cha Fundo Wilaya ya Wete Pemba ikiwa na shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar hafla hiyo imefanyika katika kisiwa hicho .
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika kisiwa cha Fundo kwa ajili ya Uzinduzi wa Umeme
Ufunguzi wa soko jipya laTtibirizi Chakechake Pemba.
Jengo la Soko Jipya la mbogamboga na samaki katika eneo chakechake Tibirinzi kama ;linavyoonekana pichani wakati wa hafla ya uzinduzi wake wakati wa sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Chakechake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Chakechake Pemba, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za maadhimishi ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa jukwaa kuu wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wajengo la Soko Jipya la Tibirizi Chakechake Pemba.
WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Soko Jipya la wafanyabiashara wa Chakechake katika eneo la Tibirizi, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.
WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,kuzungumza na wananchi wa kisiwani Pemba wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Tibirini Chakechake Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifungo na Uvuvi.Mhe. Hamad Rashid Mohammed alipowasili katika viwanja vya Soko la Tibirizi kwa ajili ya ufunguzi wa Soko hilo ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha miaka 54
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo pamoja na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohammed kabla ya kulifungua rasmin, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo hilo la soko chakechake Pemba
MKADARASI wa Ujenzi wa Soko hilo kutoka Kampuni ya ZECCON Ali Mbarouk akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitembelea katika soko hilo baada ya kulizindua rasmin katika sherehe za shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Uzinduzi wa jengo jipya la Mtakwimu Mkuu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serekali lililopo mazizini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akionesha Tunzo ya Takwimu aliyokabidhiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla hiyo.iliofanyika katika viwanja vya jengo hilo mazizini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar lilioko katika eneo la mazizini, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika eneo la mazizini Zanzibar
NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dk. Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali mazizini Zanzibar.
BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa engo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ai Mohamed Shein, akihutubia. baada ya uzinduzi huo.
MKURUGENZI Mkaazi wa Banki ya Dunia Ms.Bella Bird akizungumza na kutowa salamu za Banki ya Dunia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali uliofanyika katika eneo la mazizini Zanzibar.
BAADHI ya wafanyakazi wa Ofisi ya mtakwimu Mkuu Zanzibar wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa jengo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ai Mohamed Shein, akihutubia. baada ya uzinduzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda mti wa mnazi katika eneo la jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali baada ya uzinduzi wa jengo hilo huko mzizini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kukifungua Kituo cha Afya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba
MTAKWIMU Mkuu wa Serikali Bi, Mayasa Mahfoudh Mwinyi, akitowa maelezo kwa Rai wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea jengo hilo baada ya kulifungua rasmin, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Dk.Shein, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika Nyumba za Wazee Sebleni Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika Nyumba za Wazee Sebleni Unguja, kulia Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe. Maudline Cyrus Castico.
VIJANA wa Mabaraza ya Vijana ya Mkoa wa Mjini Magharibi na Wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa usafi wa mazingira katika eneo la Nyumba za Wazee Sebleni, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Vifaa vya Usafi Katibu wa Baraza la Vijana Wilaya ya Magharibi A Unguja Farida Juma, kwa ajili ya zoezi la Usafi katika Wilaya yao, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Nyumba za Wazee Sebleni wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Usafi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika Nyumba za Wazee Sebleni Unguja,
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Usafi wa Mazingira katika viwanja vya Sebleni Unguja
VIJANA wa Mabaraza ya Vijana ya Mkoa wa Mjini Magharibi na Wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa usafi wa mazingira katika eneo la Nyumba za Wazee Sebleni, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama kwa dakika moja kuwakumbuka Wazee waliotangulia mbele ya haki
WAZEE wa Sebleni wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa usafi wa mazingira katika maeneo ya nyumba za wazee sebleni Unguja.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuzungumza na Wananchi walioshiriki kazi ya Usafi wa Mazingira katika viwanja vya Nyumba za Wazee Sebleni.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wanaoishi Nyumba za Wazee Sebleni alipofika katika viwanja hivyo kwa ajili ya Uzinduzi wa Usafi wa Mazingira katika eneo hilo.
BAADHI ya Vijana wanaoshiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika eneo la Sebleni Nyumba za Wazee wakifanya usafi
BAADHI ya Vijana wanaoshiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika eneo la Sebleni Nyumba za Wazee wakifanya usafi