Hafla ya kuapishwa Rais wa Tanzania jijini Dodoma.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipunga mkono wakati Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwa ajili ya kuapishwa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa amesimama Jukwaa kuu la Viongozi wakati ukipigwa wimbo wa Taifa katika hafla ya kuapishwa kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iliofanyika katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipunga mkono wakati Rais Mteule wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Jamuhuri Dodoma kwa ajili ya kuapishwa, baada ya kushinda Uchaguzi Mkuu wa Tanzxania uliofanyika mwezi Oktoba 2020.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma, baada ya kushinda uchaguzi Mkuu wa Tanzania uliofanyika mwaka huu Oktoba 28, 2020.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akielekea katika jukwaa baada ya kuapishwa Katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma akimuapisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli , katika uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma.
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein amewasili Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Dodoma asubuhi hii akihudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli. Rais Dk. Mwinyi amefuatana na mkewe mama Mariam Mwinyi. Katika uwanja wa ndege wa Dodoma Rais Dk. Mwinyi amepokewa na viongozi mbali mbali akiwemo mkuu wa Mkoa huo Dk. Binilith Mahenge
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Jijini Dodoma asubuhi hii akihudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli. Rais Dk. Mwinyi amefuatana na mkewe mama Mariam Mwinyi. Katika uwanja wa ndege wa Dodoma Rais Dk. Mwinyi amepokewa na viongozi mbali mbali akiwemo mkuu wa Mkoa huo Dk. Binilith Mahenge
Dk.Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mwanasheria Mkuu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Dk.Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi hati ya kiapo Dk.Mwinyi Talib Haji baada ya kumuapisha kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(katikati) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk. Mwinyi Talib Haji, baada ya kumuapisha leo 4/11/2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dk. Mwinyi Talib Haji, baada kumuapicha leo 4/11/2020 hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais Mwinyi ametembelea Ghala la Mizigo Shirika la Bandari Saateni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Bandari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia Mizigo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi alipofanya ziara maalum ya kikazi (kulia) Kaimu Mkurugenzi Ufundi Shirika la Bandari Salum Uddi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla ya kutembelea ghala la kuhifadhia Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Shirika la Bandari la Zanzibar alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea ghala la Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mdhibiti wa Bandari Majaliwa Abdalla Rashid Shirika la Bandari wakati alipotembelea Bandari ya Malindi leo mchana akiwa katika ziara ya hafla
Baadhi ya wafanyakazi wa Sehemu mbali mbali katika bandari ya Malindi jijini Zanzibar wakiwa katika maeneo yao ya kazi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea bandari ya malindi leo mchana kuona maendeleo ya kiutendaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) aliposalimiana na wafanyakazi katika bandari ya wakati alipotembelea bandari ya malindi leo mchana kuona maendeleo ya kiutendaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Kaimu Mkurugenzi Huduma za bandari Nd. Juma Sururu Juma (katikati) wakifuatana pamoja na Ujumbe wake wakati alipotembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar leo mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea bandari ya Malindi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea bandari ya Malindi