State House Blog

Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri wamefanya mazungumzo na Dk.Shein

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi za Zambia na Misri, kulia Balozi wa Tanzania Nchini Misri Mhe. Meja Jenerali Issa Suleiman Nassor na Balozi wa Zambia Mhe Abrahaman Kaniki, walipofika Ikulu Zanzibar kum

Balozi wa China Nchini Tanzania Mhe.Wang Ke akutana na Dk. Shein kwa kujitambulisha

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Dk Shein Ikulu
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Jamuhuri ya Watu wa China Nchini Tanzania Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kulia Balozi Mdogo wa Chini anayefanyia kazi zake Zanzibar Balozi Xie Xiuowu

Dk.Shein akipokea Hundi Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Hundi ya Shilingi za Kitanzania Millioni Ishirini na kutoka kwa Mkurugenzi Masoko katika Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa,zilizoahidiwa na Benki hiyo kwa ajili ya mchango wa madawati kwa Skuli za Serikali,sambamba na kupokea Milioni tano kwa ajili ya Ujenzi katika Skuli ya chekechea Madungu Wilaya ya Chakechake Pemba,ujumbe wa Benki hiyo ulipofika Ikulu Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na ujumbe wa Benki ya CRDB unaoongozwa na Mkurugenzi Masoko Nd,Tully Esther Mwambapa (wa pili kulia) ulipofika Ikulu Mjini Unguja 09/11/2017.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Mkurugenzi Masoko wa Benki ya CRDB Nd,Tully Esther Mwambapa baada ya mazungumzo alipofika Ikulu Mjini Unguja akiwa na Ujumbe aliofuatana nao 09/11/2017.

Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limepongezwa na Mheshimiwa Dk.Shein

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao wengine Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (wa pili kulia) akiwa na Katibu Mkuu pia kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Nd,Salum Maulid Salum
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao,(kushoto)Bibi.Azzan Amin Nofly Ofisa katika Shirika hilo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,09/11/2017.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza Mwakilishi mpya wa Shirika la UNFPA Nchini Tanzania Bibi.Jacqueline Mohan alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao

Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
  • Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katik**a kikao cha siku moja cha Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwepo na Naibu Katibu Mkuu Maryam Juma Abdulla Saadalla
  • Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,