Kilele cha siku ya Wafanyakazi DUNIANI Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi wa Serikali na Sekta Binafsi katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wakiwa katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wananchi wakiwa wamejifunika Mvua wakati walipokuwa wakiingika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wafanyakazi mbali mbali wa Serikali na Sekta Binafsi wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi mbali mbali wa Serikali na Sekta Binafsi wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba, Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshma ya gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma katika kilelel cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanziibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sherehe zilizofanyika Mkoani Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Sera Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Walemavu Jenesta Joakim Muhagama wakatri alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinumwi Adenisa mara baada ya kumalizika kwa sherehe za madhimisho ya kilele miaka 54 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika mapokezi yake mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Dkt. Bilinith Mahenge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma
Dk. Shein amekutana na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (NEC).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage alipofika Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na ujumbe aliofuatana nao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha (wa tatu kushoto) mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. 17/04/2018.
Uzinduzi wa chanjo mpya dhidi ya Maradhi ya Saratani la mlango wa kizazi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwenamwema Shein (kulia) alipokuwa akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan,
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan wakati alipowasili viwanja vya Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kulia) akionesha kichupa cha Dawa ya chanjo ya kama ishara ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akionesha Kadi ya Chanjo ya Mwanafunzi Wahida Makame Sunna (kulia) baada ya kupatiwa Chanjo ya (HPV) mara baada ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akimuangalia Mwanafunzi Wahida Makame Sunna (katikati) akipatiwa Chanjo ya(HPV) mara baada ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwakilishi wa Shirika la Misaada la UNFPA Batula Abdia akitoa salamu zake katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Waziri wa Afya Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castico
Wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Wauguzi kituo cha Afya Dunga na Wanafunzi wakiwa katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani).
Wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Dk. Shein akutana na Ujumbe wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation wa China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka C*hina Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka C*hina Bw.Zhou Junxue (katikati) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo.