Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katembelea Mradi wa Huduma za jamii mijini Zusp Zanzibar
MKAAZI wa Kwarara Ndg. Salum Said Salum akitowa kero yake kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Husseinn Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa ziara yake kutembelea eneo hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa (ZUSP) Ndg. Makame Ali Makame akitowa maelezo ya utekelezaji wa Mradi huo wa ujenzi wa Jaa la Kisasa linalojengwa katika eneo la Kibeli Wilaya ya Kati Unguja akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakimsikiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wac Ujenzi wa Jaa la Kisasa linalojengwa katika eneo la Kibeni Ndg. David Masawe akitowa maelezo kuhusiana na ujenzi wa Mradi huo wa (ZUSP) wa Jaa wakati wa ziara yake katika eneo hilo huko Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Jaa la Kisasa linalojengwa Kibeli chini ya Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) akimsikiliza Meneja Mradi wa Jaa Kibeli Ndg. Makame Ali (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidu Rashid na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya (ZUSP ) Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) kuangalia utendaji wa Mradi huo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea eneo la Ujenzi wa Mradi wa Jaa la Kisasa linalojengwa Kibeli chini ya Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) akimsikiliza Meneja Mradi wa Jaa Kibeli Ndg. Makame Ali (kushoto kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidu Rashid na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakitembelea eneo hilo wakati wa ziara yake kutembelea Miradi ya (ZUSP ) Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini (ZUSP) kuangalia utendaji wa Mradi huo wa ujenzi wa mitaro ya kupitishia maji machafu na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Rahma Kassim Ali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawailiano na Uchukuzi Zanzibar Ndg.Mustafa Aboud Jumbe wakati wa ziara yake kutembelea Mradi wa Huduma za Jamii Mijini katika eneo la Kiembesamaki kuangalia ujenzi wa mitaro wa maji katika barabara hiyo na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjinui Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustaf
Hafla ya kumuaapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, wakati hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8/12/2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumua;pisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo imefanyika leo 8/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla , baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya kumua;pisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo imefanyika leo 8/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Viongozi wa Dini Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad hafla iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Sadala (Mabodi) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kumaliza kumuapisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Hati ya Kiapo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya Kiapo ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Saharif Hamad, baada ya kumuapisha hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo Zito Kabwe, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Omar Othman Makungu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Mwinyi Talib Haji na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, wakifuatilia hafla ya kuapishwa kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Maalim Seif Sharif Hamad, hafla hiyo ya kuapishwa imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Dk.Hussein Mwinyi mgeni rasmin taarabu ya kumpongeza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Taarab ya kumpongeza iliofanyika jana usiki 5/12/2020 na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe. Zuberi Ali Maulid
BAADHI ya Wananchi wa Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) wakijumuika katika taarab huiyo wakati Kikundi cha Culture kikitowa burudani kwa wimbo wake “Mpewa hapokonyeki” ikiimbwa na Msanii Bi.Mgeni Khamis, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwaryam Mwinyi na (kushoto kwake) Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna wakijumuika katika Taarab Maalum ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani ) wakijumuika na Wananchi katika hafla hiyo wakati Msanii wa Kikundi cha Zanzibar Big Star Tahir Khamis akiimba wimbo wa “ Warewarew CCM” katika hafla hiyo iliofanyika jana usku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakiul Kikwajuni Jijini Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna (kushoto kwake ) na Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe Asha Abdalla Juma (kulia kwake) wakienda kutunza katika hafla ya Taarab rasmin ya kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na kutowa salamu za pongezi kwa Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, hafla hiyo ya Taarab rasmin iliofanyika jana usiku 5/12/2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum iliofanyika jana usiku 5/12/2020.
BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Chama na Wananchi wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna akitowa Salamu za NMB na kumpongeza Rais wa Zanzibar kwa ushindi wake katika uchaguzi Mkuu wa Zanzibar, wakati wa hafla ya Taarab Maalum iliandaliwa na Benki ya NMB katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar jana usiku 5/12/2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarab maalum ilioandaliwa na Benki ya NMB kwa ajil ya kumpongeza Rais iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid, Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Bi.Ruth Zaipuna na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi, wakifuatilia hafla hiyo ya Taarab Maalum ilifanyika jana usiku 5/12/2020
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwiny katika mkutano na Wafanya Biashara Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga wakati alipowasili katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akitoa hotuba yake kwa Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar ili kujua kero mbali mbali zinazowakabili katika uendeshaji wa Biashara zao nchini
Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali wakisikiliza mada zilizotolewa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba yake katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa pamoja na taasisi mbali mbali za Serikali uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza mazungumzo ya pamoja na Wafanyabishara wa Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar wakiwepo Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga (watatu kulia) Makamo wa Pili wa Rais Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (wa tatu kushoto) pamoja na Viongizi wengine
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba yake katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kutoka kushoto) Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga,Kaimu Mwenyekiti wa ZNCC Nd.Ali Amour na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba yake katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idriss AbdulWakil Kikwajuni Jijini Zanzibar (kutoka kushoto) Waziri wa Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga,Kaimu Mwenyekiti wa ZNCC Nd.Ali Amour na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa.
Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali wakisikiliza mada zilizotolewa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano na Wafanyabiashara wa Zanzibar uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
Baadhi ya Wafanyabishara wa Makampuni mbali mbali Zanzibar wakiwa katika Mkutano wa pamoja na taasisi mbali mbali za Serikali uliofanyika leo katika Ukumbi Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar chini Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Mwinyi amejumuika na waumoni wa dini ya kiislam katika Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani mji mkongwe Jijini Zanzibar leo 4/12/2020 na kuwataka Wananchi kuilinda amani Nchini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani mji mkongwe Jijini Zanzibar leo 4/12/2020 na kuwataka Wananchi kuilinda amani Nchini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh. Mudathir, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Omar Saleh Kabi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Istiqaama Shangani Jijini Zanzibar