State House Blog

Ufunguzi wa soko jipya laTtibirizi Chakechake Pemba.

  • Jengo la Soko Jipya la mbogamboga na samaki katika eneo chakechake Tibirinzi kama ;linavyoonekana pichani wakati wa hafla ya uzinduzi wake wakati wa sherehe za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar
  • WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wa Chakechake wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Chakechake Pemba, ikiwa ni sherehe za shamrashamra za maadhimishi ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa jukwaa kuu wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wajengo la Soko Jipya la Tibirizi Chakechake Pemba.
  • WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipiga makofi baada ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Soko Jipya la wafanyabiashara wa Chakechake katika eneo la Tibirizi, ikiwa ni shamrashamra za maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirizi Chake kulia Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohammed.
  • WANANCHI wa Kisiwani Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Soko Jipya la Tibirini Chakechake ikiwa ni sherehe za shamrashamra za kuadhimisha miakav 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein,kuzungumza na wananchi wa kisiwani Pemba wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Soko la Tibirini Chakechake Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifungo na Uvuvi.Mhe. Hamad Rashid Mohammed alipowasili katika viwanja vya Soko la Tibirizi kwa ajili ya ufunguzi wa Soko hilo ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kuadhimisha miaka 54
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia jambo pamoja na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Hamad Rashid Mohammed kabla ya kulifungua rasmin, wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo hilo la soko chakechake Pemba
  • MKADARASI wa Ujenzi wa Soko hilo kutoka Kampuni ya ZECCON Ali Mbarouk akitowa maelezo ya ujenzi wa Soko hilo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipokuwa akitembelea katika soko hilo baada ya kulizindua rasmin katika sherehe za shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Uzinduzi wa jengo jipya la Mtakwimu Mkuu Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Jengo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serekali lililopo mazizini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akionesha Tunzo ya Takwimu aliyokabidhiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla hiyo.iliofanyika katika viwanja vya jengo hilo mazizini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar lilioko katika eneo la mazizini, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar
  • WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk. Khalid Salum Mohammed,akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa jengo la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali katika eneo la mazizini Zanzibar
  • NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango Tanzania Dk. Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali mazizini Zanzibar.
  • BAADHI ya wageni waalikwa katika hafla ya Uzinduzi wa engo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ai Mohamed Shein, akihutubia. baada ya uzinduzi huo.
  • MKURUGENZI Mkaazi wa Banki ya Dunia Ms.Bella Bird akizungumza na kutowa salamu za Banki ya Dunia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali uliofanyika katika eneo la mazizini Zanzibar.
  • BAADHI ya wafanyakazi wa Ofisi ya mtakwimu Mkuu Zanzibar wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa jengo Jipya la Mtakwimu Mkuu wa Serikali wakifuatilia hafla hiyo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ai Mohamed Shein, akihutubia. baada ya uzinduzi huo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda mti wa mnazi katika eneo la jengo la Mtakwimu Mkuu wa Serikali baada ya uzinduzi wa jengo hilo huko mzizini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kukifungua Kituo cha Afya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba
  • MTAKWIMU Mkuu wa Serikali Bi, Mayasa Mahfoudh Mwinyi, akitowa maelezo kwa Rai wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea jengo hilo baada ya kulifungua rasmin, ikiwa ni shamrashamra za miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Dk.Shein, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika Nyumba za Wazee Sebleni Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika Nyumba za Wazee Sebleni Unguja, kulia Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wazee Vijana Wanawake na Watoto Zanzibar, Mhe. Maudline Cyrus Castico.
  • VIJANA wa Mabaraza ya Vijana ya Mkoa wa Mjini Magharibi na Wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa usafi wa mazingira katika eneo la Nyumba za Wazee Sebleni, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Vifaa vya Usafi Katibu wa Baraza la Vijana Wilaya ya Magharibi A Unguja Farida Juma, kwa ajili ya zoezi la Usafi katika Wilaya yao, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Nyumba za Wazee Sebleni wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Usafi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki katika zoezi la kufanya usafi katika Nyumba za Wazee Sebleni Unguja,
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Usafi wa Mazingira katika viwanja vya Sebleni Unguja
  • VIJANA wa Mabaraza ya Vijana ya Mkoa wa Mjini Magharibi na Wananchi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa usafi wa mazingira katika eneo la Nyumba za Wazee Sebleni, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza kuu wakiwa wamesimama kwa dakika moja kuwakumbuka Wazee waliotangulia mbele ya haki
  • WAZEE wa Sebleni wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa usafi wa mazingira katika maeneo ya nyumba za wazee sebleni Unguja.
  • MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kuzungumza na Wananchi walioshiriki kazi ya Usafi wa Mazingira katika viwanja vya Nyumba za Wazee Sebleni.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Wazee wanaoishi Nyumba za Wazee Sebleni alipofika katika viwanja hivyo kwa ajili ya Uzinduzi wa Usafi wa Mazingira katika eneo hilo.
  • BAADHI ya Vijana wanaoshiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika eneo la Sebleni Nyumba za Wazee wakifanya usafi
  • BAADHI ya Vijana wanaoshiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika eneo la Sebleni Nyumba za Wazee wakifanya usafi

Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa arehemu Mtumwa Mgeni , mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya kwarara
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitia mcha katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni Mama wa Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa, mazishi hayo yemefanyika katika makaburi ya Kwarara Unguja

Dk.Shein ahudhuria mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa Marehemu Mtumwa Mgeni , mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya kwarara
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mcha katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni Mama Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa, mazishi hayo yemefanyika katika makaburi ya kwarara Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar.