State House Blog

Dk.Shein amefungua Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania ukumbi wa Hotel ya Verde Mtoni Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia moja ya bidhaa za Wajasiriamali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Balozi Seif Ali Iddi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe Goerge Simbachawene na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu.
  • BAADHI ya Watanzania wanaoishi Ughaibuni Diaspora wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Ma;pinduzi Zanzibar wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Zanzibar lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed akihutubia hafkla hiyo (hayupo pichani) ufunguzi huo.
  • BAADHI ya Watanzania wanaoishi Ughaibuni Diaspora wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar(hayupo pichani)
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein,kuhutubia na kulifungua
  • MWENYEKITI wa (Tanzania Global Diaspora Council (TDC GLOBAL) Ndg,Norman Jasson akitowa Salamu za Wanadiaspora wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbiu wac Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, walililowashirikia Watanzania Wanaoishi Ughaibu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi wakitembelea maonesho ya Wajasiriamali wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Sita la Diaspora Tanzania.

Dk.Shein amezungumza na Katibu wa Kamati kuu ya Uongozi wa Chama Kikomunisti cha Vietnam Ikulu ZNZ

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Ujumbe alioongazana nao Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe.Pham Minh Chinh, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.MheDk.Ali Mohamed Shein, akiagana na Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe. Pham Minh Chinh, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa maelezo ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door) kwa Katibu wa Kamati Kuu ya Uongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam.Mhe.Pham Minh Chinh, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) ujumbe aliofuatana nao

Rais wa Zanzibar amezindua Boti mpya ya kampuni ya Azam Marine ya Kilimanjaro vii.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilinjaro Fast Ferries na Azm Marine.Ndg.Said Salim Bakheressa, alipowasili katika viwanja vyaHoteli ya Verde Mtoni Zanzibar akihudhuria hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kilimanjaro VII, uliofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizindua Boti Mpya ya Kisasa ya Kilimanjaro VII, ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries na (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferreis na Azam Marine Ndg. Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe. Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa wakishuhudia uzinduzi huo wa Boti hiyo uliofanyika katika eneo la Hoteli Verde Mtoni Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango wa Zanzibar.Mhe Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia kwa Rais) wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII,baada ya uzinduzi wake uliofanyika 27-11-2019, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akimsikiliza, Mwenyekiti wa Makampuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azma Marine.Ndg. Said Salim Bakhressa wakiwa katika chumba cha kuongozea boti hiyo ya Kilimanjaro VII baada ya kuizindua leo katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar,(kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makamupuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said Salim Bakhressa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Boti ya Kisasa ya Kampuni ya Azam Marine na Kilimanjaro Fast Ferries, uliofanyika katika eneo la ufukwe wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mwenyekiti wa Makamupuni ya Kilimanjaro Fast Ferries na Azam Marine.Ndg.Said Salim Bakhressa, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe.Balozi Seif Ali Iddi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora na Utumishi wa Umma.Mhe Haroun Ali Suleiman na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama.Ndg. Mohammed Rajab Soud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar. Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na Jaji Mkuu wa Zanzibar.Mhe. Omar Othman Makungu.

Dk.Shein azungumza na Mwakilishi Mkaazi wa UNDP nchini Tanzani Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania.Bi.Christine Musisi, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na RaisRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Ripoti ya Hiyari ya Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu,(SDG’s) na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania. Bi. Christine Musisi, wakitabasamu wakati wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Dk.Shein amezungumza na ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu ya Haukeland ya Nchini Norway.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mr.Trond Mohn, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu ya Hakeland cha Nchini Norway.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, ukiongozwa na (CEO HUH) Mr. Eivind Hansen (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na wageni wake kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland Nchini Norway baada ya kamaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na (CEO,HUH) Mr.Eivind Hansen, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu kwa mazungumza na Ujumbe kutoka Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, kulia Mr.Trond Mohn na Ms.Marit Mohn Westlake, wakiwa katika ukumbi Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland cha Nchini Norway, ukiongozwa na (CEO HUH) Mr. Eivind Hansen (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais