State House Blog

Dk Shein amezindua Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein akizindua Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, pamoja na kuagwa na Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar ,hafla iliofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
  • Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na (kulia kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Jaji Mkuu wa Zanziubar. Mhe Omar Othman Makungu, Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiuongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Katibu wa CCM Zanzibar Dr., Abdall Juma Mabodi na (kushoto kwa Makamu) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla hiyo iliofanyika uwanja wa Mao Zedong
  • BAADHI ya Wazanzibar wanaoishi Nje Diaspora wakifuatilia hutruba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kuagwa na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, iliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wafanyakazi wa SMZ wakishangilia wakati wa hafla ya Kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar mwaka 2050.(hayupo pichani ) akiwahutubia katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanbzibar.
  • BAADHI ya Wafanyakazi wa SMZ wakishangilia wakati wa hafla ya Kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar mwaka 2050.(hayupo pichani ) akiwahutubia katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanbzibar.
  • BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akihutubia katika mkutano wa kumuaga na Uzinduzi wa Kitabu cha Dira ya Maendeleo Zanzibar Mwaka 2050, uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar wakishangilia katika hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na Uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Zanzibar Mwaka 2050, uliofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Jijini Zanzibar.

Alhajj Dk.Shein amewaongoza Waumini wa Dini ya Kiislam katika Mauid ya kuzaliwa Mtume Muhammad SW

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akitia ubani kumainisha kuyafungua Maulidi ya Kuadhimisha Kuzaliwa kwa MtUME Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja ya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar, yalifanytika jana usiku.
  • BAADHI ya Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Waumini wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakishiriki katika hafla ya Maulidi ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar
  • WANAFUNZI wa Madrasatul Tarbiyatul Islamia kutoka Koani Wilaya ya Kati Unguja wakisoma Qasweeda, wakati wa Maadhimisho ya Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad, yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Jijini Zanzibar jana usiku

Dk.Shein amewatembelea Majeruhi katika Hospital ya Micheweni Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji mhanga wa matukio ya kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba, kuwatembelea majeruhi 17/10/2020. Akipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni .Dr. Mbwana Shoka Salim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji mmoja wa wahanga wa matukio ya kupigwa katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba kuwajulia hali zao leo 17-10-2020. Na kuwafariji.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa majeruhi wa tukio la kupigwa lililotokea katika maeneo ya Kwake Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg.Abdalla Khamis Mbarouk, alipofika katika hospitali ya Micheweni leo 17/10/2020 na (kulia kwa Rais) Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dr.Mbwana Shoka Salim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo ya mmoja wa majeruhi ya Wahanga wa Matukio ya kupingwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba,Ndg.Yassir Hemed Ali, alipofika katika Hospitali ya Micheweni leo kuwatembelea na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimpa pole mmoja wa Majeruhi ya Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg.Yassir Hemed Ali, akiangalia sehemu aliyopata majeruhi alipofika katika Hospitali ya Micheweni kuwajulia hali na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya kupigwa yaliotokea katika Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Khatib Said Khatib aliyepata jeraha katika sehemu ya tumbo, wakati akitowa maelezo Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika Kwale Wilaya ya Micheweni Ndg.Khatib Said Khatib, wakati Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo kwa Rais alipofika leo 17/10/2020 kuwatembelea na kuwafariji
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika Kwale Wilaya ya Micheweni Ndg.Khatib Said Khatib, wakati Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo kwa Rais alipofika leo 17/10/2020 kuwatembelea na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale. Wilaya ya Micheweni Pemba,Bi.Raya Khamis Hamad , alipofika katika hospitali ya Micheweni kuwajulia hali leo 17/10/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa Wahanga wa tukio la kupigwa lililotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba

Uzinduzi wa Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Nyumba za maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar
  • Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akiwaslimia Wananchi wa Jimbo lake la Kwahani pamoja na Viongozi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,mgeni rasm alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bw.Abdi Ameir Ali (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma
  • Baadhi ya Wananchi wa Maeneo mbali mbali wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bw.Ali Hamad Haji (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bibi .Hamida Mwinyi Mmadi (wa pili kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma
  • Wananchi wa Kwahani na maeneo mbali mbali wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo, mgeni rasm alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi

Uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora.

  • Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Vijana,Sanaa, Utamaduni na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla (kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd.Omar hassan Omar (king) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Kitabu kiitwacho "Mwalimu Bora wa Soka"uliofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
  • Mkalimani wa Lugha za Alama akisomea watu wenye tatizo Uziwi katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akinyanyua kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" baada ya kukizindua rasmi leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ambacho kimeandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Wanamichezo na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Makocha mbali mbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.