State House Blog

Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama yake Meja Staaf Juma Kassim Tindwa.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa arehemu Mtumwa Mgeni , mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya kwarara
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitia mcha katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni Mama wa Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa, mazishi hayo yemefanyika katika makaburi ya Kwarara Unguja

Dk.Shein ahudhuria mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa Marehemu Mtumwa Mgeni , mama mzazi wa Meja Mstaaf na Mshauri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ., Mhe. Juma Kassim Tindwa, sala hiyo imefanyika katika msikili wa Kilimani na kuzikwa katika makaburi ya kwarara
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mcha katika kaburi la marehemu Mtumwa Mgeni Mama Meja Mstaaf Juma Kassim Tindwa, mazishi hayo yemefanyika katika makaburi ya kwarara Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiitikia dua inayosomwa na Sheikh Sharif Abdulrahaman Sharif, wakatika wa mazishi ya Marehemu Mtumwa Mgeni yaliofanyika katika makaburi ya Kwarara Zanzibar.

Hafla ya kumpokea na kumpongeza Makamu M/Kiti wa CCM baada ya kuchaguliwa kwa kura zote

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akifungwa kiskafu na Vijana wa Chipukizi wa Mkoa wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Viwanja vya Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amaan.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa CCM meza kuu wakisimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani Zanzibar
  • WANACHAMA wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa CCM katika hafla ya mapokezi yake yaliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM MKoa wa Mjini Amaan Zanzibar. baada ya kuwasili akitokea Dodoma wiki iliopita baada ya kuchaguliwa kwa mara ya Pili kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi katika mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM uliofanyika Dodoma
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa CCM katika hafla ya mapokezi yake yaliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM MKoa wa Mjini Amaan Zanzibar. baada ya kuwasili akitokea Dodoma wiki iliopita baada ya kuchaguliwa kwa mara ya Pili kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi katika mkutano Mkuu wa Tisa wa CCM uliofanyika Dodoma
  • KATIBU wa Chama cha TADEA Mhe Juma Ali Khatib akiwasalimia Wanachama wa CCM wakati wa mkutano huo wa hafla ya mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar katika ukumbi wa mkutano Afisi ya CCM Amaan Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wanachama wa CCM baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya mapokezi yake katika viwanja vya Afisi CCM Mkoa wa Mjini Unguja Amaan
  • Baadhi ya Wanachama wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa hafla ya mapokezi yake Zanzibar
  • KATIBU wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja Mohammed Omar Nyawenga akitowa Salamu kwa Niaba ya Makatibu wa CCM wa Zanzibar wakati wa hafla ya mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, Afisi ya Mkoa wa Mjini Amaan Unguja
  • BAADHI ya Wanachama wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia wakati wa hafla ya mapokezi yake Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia ngoma ya kibati wakati wa mapokezi yake yalioandaliwa katika viwanja Afisi Kuu ya CCM Mkoa wa Mjini Amani, baada ya kuwasili Zanzibar wiki iliopita akitokea Dodoma katika Mkutano Mkuu wa CCM na kuchaguliwa tena kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar kwa kura nyingi
  • WANACHAMA wa CCM wa Mikoa ya Zanzibar wakimpokea Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Afisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Talib Ali Talib, alipowasili katika viwanja vya Afiisi ya CCM Mkoa wa Mjini Amani wakati wa mapokezi yake

Hafla ya Chakula cha usiku aliowaandalia Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes

  • KOCHA Mkuu wa Timu ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco,akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi wakati wa hafla maalumu ilioandaliwa kwa ajili ya kuwapongeza Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni Zanzibar.
  • Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakifurahia ushindi wao wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa kwa ajili yao.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Jezi ya Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Nahodha wa Timu hiyo Suleiman Kassim Selembe, wakati wa hafla maalum ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar kuwazawadi zawadi wachezaji hao katika ukumbi wa zamani wa baraza la wawakilishi Kikwajuni
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi cheki Kocha Mkuu wa Timu ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni Tatu Nahodha Timu ya Zanzibar Heroes Suleiman Kassim Selembe, wakati wa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar katika ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Abdulazizi Makame, wakati wa hafla ya chakula cha usiku katika ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni
  • WACHEZAJI wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes wakipata chakula wakati wa hafla ya chakula cha usiku wakati wakifurahia ushindi wao kilichoandaliwa kwa ajili yao
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa kukabidhi zawadi kwa Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes katika ukumbi wa zamani wa baraza kikwajuni Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati wa hafla ya Chakula cha usiku aliowaandalia Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes, iliofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni na kuwazawadia Fedha na Viwanja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, wakipata chakula kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya chakula maalum na kuwazawadia wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Abdulazizi Makame, wakati wa hafla ya chakula cha usiku katika ukumbi wa Zamani wa Baraza Kikwajuni.

Chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco kwa jitihada zake alizoonesha kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar kufikia hatua ya Fainali katika michuano ya Chalenji yaliomalizika wiki iliyopita Nchi Kenya.
  • WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar, kuipongeza Timu hiyo kwa ushujaa wake katika michuano ya Kombe la Chalenji
  • KOCHA Mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Moroco akitowa shukrani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Ali Mohamed Shein, wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao katika viwanja vya Ikulu
  • VIONGOZIN wa Timu ya Zanzibar Heroes wakijumuika katika chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar
  • WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar, kuipongeza Timu hiyo kwa ushujaha wake katika michuano ya Kombe la Chalenji.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Wachezaji wa Zamani wa Zanzibar, baada ya hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao Ikulu Zanzibar
  • Raiswa nzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiompongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Morocokwa kwa jitihada zake alizoonesh kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar kufikia hatua ya Fainali katika michuano ya Chalenji yaliomalizika wiki iliyopita Nchi Kenya
  • WACHEZAJI wa Zanzibar Heroes wakimsikiliza kwa umakini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduz Dk.Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake kwa wachezaji na viongozi wao,baada ya kuwa kwa ushujaha na kupata ushindi wa pili katika michuano ya Kombe la Chalenji.