State House Blog

Dk.Shein amelihutubia Baraza la Tisa kabla ya kulivunja rasmin.

  • Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar
  • Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika hukwani Nje ya Mji wa Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa amesimama wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki kabla ya kuanza kwa Mkutano wa uvunjaji wa Baraza la Wawakilishi (kulia kwa Rais) Mama Mwanamwema Shein na (kushoto kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Mhe. Zuberi Ali Maulid.
  • Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar.
  • WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Tanzania.Mhe Job Ndugai na Jaji Mkuu wa Zanzibar. Mhe. Omar Othman Makungu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) wakati akilihutubia Baraza la Wawakilishi na kulivunja rasmin 20/6/2020,mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) akiwa Mgeni rasmi katika Sherehe za kulivunja Baraza la 9 la Wawawakilishi zilizofanyika leo Chukwani Nje ya Mji wa Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia katika Mkutano wa Baraza la Tisa la Wawakilishi kabla ya kulivunja rasmin leo katika ukumbi wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar. hafla hiyo imefanyika 20-6-2020.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride maalum la Kikosi cha Polisi F.F.U mara baada ya kutoa salamu ya Heshma wakati wa sherehe za kulivunja Baraza 9 la Wawakilishi la Zanzibar zilizofanyika Chukuwani Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

Utekelezaji wa haki za Binaadamu na Utawala Bora Zanzibar ni azma ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Jaji Mstaf Mathew Paua Mhina. (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 9/6/2020, akiwa na Ujumbe wake wa Makamishna wa Tume hiyo.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo (kulia kwa Rais) Jaji Mstaaf. Mathew Paua Mhina, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, hafla hiyo imefanyika leo 9/6/2020 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

Dk.Shein amewasili Zanzibar akitokea Pemba kwa ziara ya siku 3.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar, alipowasili Uwanja wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Mama Mwanamwema Shein, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya Siku Tatu.

Dk.Shein amewataka Viongozi wa Mikoa ya Pemba kuwatoa hofu Wananchi juu ya maradhi ya KORONA

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu, akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) kuzungumza na Maofisa Wadhamini wa Wizara Pemba.
  • BAADHI ya Maofisa Wadhamini wa Wizara za Serikali Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chake chake Pemba wakati wa ziara yake Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake PembaRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Maofisa Wadhamini Pemba wakati wa ziara yake, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Chakechake Pemba

Dk.Shei ametembelea jengo linalotarajiwa kuwa la uchunguzi wa Virusi Binguni Wilaya ya Kati Unguja

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasa Salum Ali,alipowasili katika viwanja vya Taasisi hiyo Binguni Wilaya ya Kati Unguja kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar,(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamed.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akiwa katika viwanja vya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya kati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la wa Virusi Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati linaloonekana katika picha kwa nyuma
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika ziara yake kutembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar,lililoko katika eneo la Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati Unguja akielekea katika jengo hilo (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohamme.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa na Waziri wa Afya Zanzibar.Mhe. Hamad Rashid Mohammed, akiwa katika viwanja vya Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Binguni Wilaya kati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la wa Virusi Zanzibar Binguni Wilaya ya Kati linaloonekana katika picha kwa nyuma.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisisitiza jambo wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe Hamad Rashid Mohammed, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar.Dkt. Mayasac Salum Ali na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati alipotembelea jengo linalotarajiwa kuwa la Uchunguzi wa Virusi Zanzibar, Binguni Wilaya ya Kati Unguja 25/3/2020 (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Afya Zanzibar Dkt. Mayasa Salum Ali.