State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar alipofika Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023, kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.Mhe David Concar , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania.Mhe David Concar , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 30-3-2023

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania Mhe.David Concar, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2023

Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,Zanzibar

  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi( wa pili kushoto) ,alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mkoba Mwanafunzi Ismaili Ali Ali,Form Five "B" wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba leo katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,(katikati)Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi( wa pili kushoto) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Mkoba Mwanafunzi Ummukulthum Omar Hussein,Form Five "B" wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba leo katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,(katikati)Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee,(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, (kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Riziki Pembe Juma (katikati) hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Skuli hiyo.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Skuli hiya,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba wkimsikiliza kwa makini Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli hiyo leo, ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini, hafla iliyofanyika katika viwanja vya Skuli ya Lumumba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

  • Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Ndg.Mussa Hassan,alipokuwa akizungumza machache na kuwashukuru Taasisi ya World Share ya Korea Kusini kwa kuweza kusaidia ujenzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo ambapo Mgeni rasmi akiwa Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto)

  • Baadhi ya Walimu katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake wa skuli hiyo leo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Viwanja vya Skuli ya Sekondari Lumumba kufungua Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake,ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini(kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi (wa tatu kulia) akiwa mgeni rasmi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa, wakifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake katika Skuli ya Sekondari ya Lumumba,ujenzi wake uliofadhiliwa na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini,(kushoto) Mkurugenzi wa World Share nchini Tanzania Bw.Sung Hoon Lee
  • Moja wapo ya Nyumba za Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake Zilizojengwa katika maeneo ya Skuli ya Sekondari ya Lumumba,zilizofunguliwa leo na Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mama Mariam Mwinyi,ambapo ujenzi wake umefadhiliwa na na Taasisi ya World Share ya Korea Kusini

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki dua ya kumuombea Marehemu Salma Mbeto Khamis Msikiti wa Miembeni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Bw. Salum Dimani, walipokutana katika maziko ya Marehemu Salma Mbeto Khamis, yaliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-3-2023, Marehemu ni Ndugu wa Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar.Ndg. Khamis Mbeto Khamis

Rais wa Zanzibar amekutana na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation, Kiongozi wa Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Wawekezaji kutoka Uingereza ukiongozwa na Bi.Agnes Gitau kutoka Taasisi ya Eastern Africa Assosiation walipofika Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la Utafiti wa Uviko-19 katika ukumbi wa CHPE Muhimbili.

  • WASHIRIKI wa Kongamano la la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akifungua Kongamano la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam 21-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam 21-3-2023
  • WANAFAMILIA ya Marehemu Amne Salim wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akifungua Kongamano la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam 21-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam 21-3-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamani la Matokeo ya Tafiti za UVIKO -19 zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kupitia ufadhili wa Marehemu Amne Salim, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Chpe Muhimbili Jijini Dar es Salam 21-3-2023
  • MTOTO wa Marehemu Amne Salim kizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la la Matokeo ya Tafiti za UVIKO-19, zilizofanywa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shiriki Muhimbili (MUHAS) kangamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chpe Mihimbiji Jijini Dar es Salaam 21-3-2023.