Dk.Shein amekutana na Wizara ya Nchi Ofgisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Nd,Yakout Hassan Yakout (katikati) akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Nd,Shaaban Seif.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Maalim Haroun Ali Suleiman (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020/2021katika kakao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abduhamid Yahya Mzee
Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Bi.Fatma Mohamed Said alipokuwa akichangia katika katika kikao utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika leo patika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba Dk. Mauwa Abeid Daftari
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais Balozi seif Ali Iddi.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Dk.Shein amekutana na Uongozi Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wakati wa Kikao cha siku moja kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe Shamata Shaame Khamis.
Maofisa katika Vikosi vya SMZ wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Washauri wa Vikosi vya SMZ pamoja na Maafisa wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa mwaka 2020/2021 cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akiwa na Watendaji katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, **katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha Utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Maofisa wa Idara mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wakurugenzi na Watendaji mbali mbali wakiwa katika Kikao cha Uongozi cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,cha Utekelezaji Mpango kazi kwa mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wakuu wa Mikoa mbali mbali na Viongozi wengine wakiwa katika kikao cha Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ cha Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ,kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ,katika kakao cha utekelezaji wa Mpango kazi wa mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizari wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Nd,Radhia Rashid Haroub (katikati) akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa katika Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkurugenzi Mipango Sera Nd.Khalid Abdalla Omar.
Dk. Shein ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe.Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Balozi Seif Ali Iddi
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Mabodi,akizungumza wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanytika katika Ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar, (kulia) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa.Mhe Samia Suluhu Hassan na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM Zanzibar, wakiwa wamesimama wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwasili katika ukumbi wa Kikao Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibaer.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akifungu Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziba
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akifungu Kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziba
Dk. Shein azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, wakati wa kikao cha Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo, kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13/8/2020, (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kul;ia kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe.Mohammed Aboud Mohammed.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndh. Shaban Seif Mohammed, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2020/2021, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Nd. Shaban Seif Mohammed, akiwasilisha Ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2020/2021, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kulia) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Ndg. Abdalla Hassan Mitawi
BAADHI ya Maofisa wa Idara za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakifuatilia ripoti ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Ofisi yao kwa mwaka wa fedha 2020/2021 wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Ndg. Shaban Seif Mohammed katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Mohammed Aboud Mohammed, akiwasilisha muktasari wa Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na kushoto Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
MKURUGENZI wa Tume ya Dawa za Kulevya Zanzibar.Bi.Kheriyangu Mgeni Khamis, akitowa maelezo wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021 Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAKURUGENZI wa Idra za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, wakifuatilia Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Ndg. Shaban Seif Mohammed.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud Mohammed, akiwasilisha muktasari wa Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) na kushoto Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
MKURUGENZI wa Tume ya Dawa za Kulevya Zanzibar.Bi.Kheriyangu Mgeni Khamis, akitowa maelezo wakati wa Kikao cha Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021 Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
WAKURUGENZI wa Idra za Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, wakifuatilia Ripoti ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwaka wa fedha 2020/2021, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Ndg. Shaban Seif Mohammed.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Wizara Ya Ujenzi,Mawailiano na Usafirishaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Mkurugenzi Mtendaji Wakala wa Karakana Kuu ya Magari Nd,Hussein Abdi Hussein (kulia) akitoa Maelezo kuhusu Idara yake katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha Mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,mawasiliano na Usafirishaji Nd,Mustafa Aboud Jumbe (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Makamo wa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya (katikati) akiwasilisha taarifa ya Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (wengine) Naibu Waziri Mhe.Mohamed Ahmada Salum (kushoto) na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi `Dkt.Abduhamid Yahya Mzee
Viongozi katika Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji wakiwa katika Kikao cha Utekelezaji Mpango kazi wa Mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Mohamed Ahmada Salum alipokuwa akichangia katika Kikao cha Utekelezaji ya Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa mwaka 2020/2021 kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Sira Ubwa Mamboya.