Dk.Shein, amezungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya za Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar Ikulu Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya ya Zanzibar,mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, leo.15/12/2018.kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar Ikulu Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
Kongamano la pili la Kiswahili la Kimataifa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili la Taifa Zanzibar (BAKIZA) Dkt. Mohammed Seif Khatib, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, kwa ajili ya Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) Dkt.Mohammed Seif Khatib, (katikati) wakati akitembelea maonesho ya Vitabu mbali mbali katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil , akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakiangalia vitabu hivyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Alim Mohamed Shein, akiangalia Vitambu mbalimbali vya Wachapishaji wa Vitabu kutoka Tanzani na Kenya wakati wa maonesho hayo yaliokwenda sambamba na Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili LILILOFANYIKA Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Alim Mohamed Shein, akiangalia Vitambu mbalimbali vya Wachapishaji wa Vitabu kutoka Tanzani na Kenya wakati wa maonesho hayo yaliokwenda sambamba na Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili LILILOFANYIKA Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili la BAKIZA Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua rasmin katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Wageni Waalikwa na Watunzi wa Vitabu mbalimbali wakihudhuria hafla hiyo ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa ka Kiswahili Zanzibar, lililoandaliwa na (BAKIZA )wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na kulifungua, katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mtunzi wa Vitabu vya Kiu,Nyota ya Rehema,Ndg. Mohammed Suleiman, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar, linalofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akionyesha Kitabu cha Mtunzi Shafi Adam Shafi cha Mtoto wa Mama, baada ya kukizinduwa wakati wa hafla ya Kongamalo la Pili la Kimataifa la Kiswahili lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA) katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil,kulia Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume, Katibu Mtendaji wa BAKIZA Bi. Mwanahija Juma na kushoto Mtunzi wa Kitabu hicho cha Mtoto wa Mama Mzee Shafi Adam Shafi akipiga makofi baada ya uzinduzi huo,uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mtunzi wa Vitabu vya Kuli, Vuta N’kuvute, Haini, Mbali na Nyumbani,Kasiri ya Mwinyi Fuad na Mtoto wa Mama kilichozinduliwa.Ndg. Shafi Adam Shafi na kulia Waziri wa Vijana Utamaduni,Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozui Ali Karume, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikabidhiwa Vitabu mbalimbali vya Kiu na Nyota ya Rehema na mtunzi wa Vitabu hivyo Ndg. Mohammed Suleiman, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idirissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheti Mtunzi wa Riwaya Mzee Yussuf Masauni kwa utunzi wake wa nyimbo mbalimbali, kulia Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja kulia Mwenyekiti wa BAKIZA Dkt. Mohammed Sif Khatib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Mhe. Balozi Ali Karume, Profesa David .P.B.Massamba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, waliosimama ni Wageni waalikwa wanaohudhuria Kongamano
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja kulia Mwenyekiti wa BAKIZA Dkt.Mohammed Sif Khatib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Mhe. Balozi Ali Karume, Profesa David P.B.Massamba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, waliosimama ni Watunzi wa Vitabu Ndg. Mohammed Suleiman na Ndg.Shafi Adam Shafi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja kulia Mwenyekiti wa BAKIZA Dkt. Mohammed Sif Khatib, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar, Mhe. Balozi Ali Karume, Profesa David .P.B.Massamba na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, waliosimama ni Watunzi wa Vitabu mbalimbali waliokabidhiwa Vyeti.
Waziri wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Zanzibar Mhe. Balozi Ali Karume akizungumza wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil,kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulifungua
Mwakilishi wa Wachapishajhi wa Vitabu Ndg. Gabriel Kitua akitowa Salamu za Wachapishaji wa Vitambu mbali mbali walioshiriki Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar , lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar, wakati wa ufunguzi wake uliofanyika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar,lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na kuwashirikisha Wadau wa Kiswahuli na Watunzi wa Vitambu kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Kongamano la Pili la Kimataifa la Kiswahili Zanzibar,lililoandaliwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar BAKIZA katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na kuwashirikisha Wadau wa Kiswahuli na Watunzi wa Vitambu kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania.
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi Zanzibar Mhe. Najma Giga.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar.Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kushoto Makamu wa Rais wa Tanzania pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Mhe Balozi Seif Ali Iddi na kulia Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdallah Juma Sadalla (Mabobi) wakiwa wamesimama wakipiga makifi baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar 11-12-2018.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Mkutano wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Zanzibar, kulia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,pia ni Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, wakisoma makabrasha ya ajenda za Mkutano kabla ya kuaza kwa Mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, 11/12/2018, chini ya Mwenyekiti wake Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdallah Juma Sadalla (Mabodi) akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kufungua Kikao cha Mkutano wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kiswadui Zanzibar 11-12-2018.
Wajumbe wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, wakiwa mamesimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwasili katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar kuongoza Kikao Cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Zanzibar,kilichofanyika tarehe 11/12/2017 Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein azungumza na ujumbe wa UWT.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania.(UWT) Bi. Thuwaiba Editon Kisasa, kulia Katibu Mkuu wa UWT,Bi.Queen Mlozi na kushoto Mwenyekiti wa UWT Bi.Gaudensia Kabaka, walipofika Ikulu Zanzibar kumtambulisha Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi.Kabaka.10-12-2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja huo Bi. Gaudensia Kabaka,Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi.Thuwaiba Editon Kisasa na Katibu Mkuu wa UWT.B. Queen Mlozi, wakiwa katika ukumbi wa mkutano Ikulu wakati wa mazungumzo yao walipofika kujitambulisha.kwa Rais wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania,(UWT) Bi. Gaudensia Kabaka,alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar,akiwa na Ujumbe wake wa Viongozi wa UWT.kulia Makamu Mwenyekiti wa UWT Bi. Thuwaiba Editon Kisasa na Katibu Mkuu wa UWT.Bi.Queen Mlozi 10-12-2018.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Shein azungumza na Balozi wa UAE nchini Tanzania Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi Mpya wa UAE Nchini Tanzania Mhe.Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, alipofiki Ikulu Zanzibar kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar na kufanya mazungumzo nae Ikulu Zanzibar 10-12-2018,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na mgeni wake Balozo wa UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulisha10-12-2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Balozi Mpya ya UAE Nchini Tanzania Mhe. Khalifa Abdulrahman Al Marzooqi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar 10-12-2018.