State House Blog

Uzinduzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tanzania

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) alipowasili katika uzinduzi wa Kongamano la tano la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukumbi katika kiwanja cha Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akimkabidhi Sera ya Diaspora ya Zanzibar Nd,Jilesh Hamit Babla katika uzinduzi wa Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Viongozi mbali mbali na wanadiaspora katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Viongozi mbali mbali na wanadiaspora katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Baadhi ya Wanadiaspora wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumzanao pamoja na Viongozi mbali mbali katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakipiga makofi baada ya wimbo wa Taifa wa Zanzibar,Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioimbwa katika Kongamano la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,
  • Baadhi ya Wanadiaspora wakisimama wakati Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,Wimbo wa Taifa wa Zanzibar na Tanzania wakati wa Uzinduzi wa Kongamano la la Tano la Diaspora Tanzania lililofanyika leo katika ukuimbi wa Uwanja wa Tibirinzi Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)

Dk.Shein ameonana na Ujumbe wa UAE Ikulu Zanzibar

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake uliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya mwanzoni mwa mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ushirikiano wa Kimataifa wa Serikali ya Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Bibi Reem Ibrahim Alhashimy (katikati) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake uliofika nchini kufuatia ziara ya Rais.aliyoifanya mwanzoni mwa mwaka huu

Dk. Shein arejea nchini Kutoka Indonesia

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteremka katika Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akiwa na Mkewe Mama Mwanawema Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe wake kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt. Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati wa mapokezi yake alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa kutumia Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania ATCL akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein(katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwa na Mazungumzo na Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada ya mapokezi yake alipowasili akitokea Nchini Indonesia katika ziara ya kikazi kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchini Indonesia Dkt.Mohamed Jusuf Kalla

Suza kuanzisha uhusiano na ushirikiano na Chuo cha Utalii cha Bali.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara alipotembelea katika chuo hicho kiliopo Bali Indonesia akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipokea mashada ya mauwa kama ishara ya mapokezi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wa kati alipowasili katika Chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indonesia Nd,INyoman Sudiksa ,SE.M.Par alipotembelea katika chuo hicho jana akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla,(katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara
  • Baadhi ya wafanyakazi wa Chuo cha Utalii katika Mji wa Bali Nchini Indinesia wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Chuo hicho alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein * walipotembelea jana wakiwa katika ziara ya *mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo Bali,Indonesia Dr Dewa Gede Byomantara (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika Chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimuuliza suala Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii kiliopo katika Mji wa Bali, Indonesia Dr.Dewa Gede Byomantara (kulia) alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Ujumbe aliofuatana nao wakati walipotembelea sehemu mbali mbali katika chuo hicho jana katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Kofia ya Dardhi ya Zanzibar Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Mjini Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Byomantara alipotembelea katika Chuo hicho pamoja na ujumbe wake alipokuwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) na ujumbe wake wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa chuo cha Utalii kiliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara walipokuwa wakiangalia ramani ya majengo ya Chuo jana alipotembelea akiwa katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Mkurugenzi Mkuu wa Chuo cha Utalii Dr.Dewa Gede Ngurah Byomantara (kulia) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) wakati wa mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi za Chuo hicho kiliyopo nje kidogo wa Mji wa Bali Nchini Indinesia alipotembelea akiwa na ujumbe wake katika ziara ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli ya Discovery Kartika Plaza iliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia Bw.James Coasta,C.H.A. wakati akiondoka katika Mji wa Bali Nchini Indonesia baada ya kuamaliza ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika Mji huo ambapo jana aliondoka kurudi Jakarta akiendelea na ziara kwa mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla, na Ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akimkabidhi zawadi ya Viungo vya Zanzibar Bw.James Coasta,C.H.A. Mkurugenzi Mkuu wa Hoteli ya Discovery Kartika Plaza iliyopo katika Mji wa Bali Nchini Indinesia alipokuwa akiondoka jana katika Mji huo kuelekea Jakarta akimalizia ziara yake ya mualiko wa Makamo wa Rais wa Nchi hiyo Mohamed Jusuf Kalla, na Ujumbe aliofuatana nao
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu (katikati) Spika wa Baraza la Wawailisi Zanzibar Zubeir Ali Maulid(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan(kulia) Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA (kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim na Makamo mwa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakismama wakati wimbo wa Tifa ukipigwa katika Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) kumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,

Dk.Shein,ameondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) alipokuwa akiagana na Wazee wa Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini akiungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.
  • Viongozi mbali mbali wakimpungia mkono wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini kuelekea Uingereza kwa safari maalum ya wiki tatu.