State House Blog

Balozi wa Saudi Arabia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya mazungumzo na Dk.Shein

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Saudi Arabia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Mansour Al Malik,alipofika Ikulu Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mohammed Mansour Al Malik, alipofika Ikulu Mjini Unguja

Sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere

  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (katikati akivalishwa Skafu na Kijana wa Chipukizi wakati alipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi na Viongozi mara alipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa,
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa asalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipowasili katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja Mkoa wa Mjini Magharibi leo katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere na Wiki ya Vijana Kitaifa,

Dk.Shein amewaapisha viongozi mbali mbali alio wateua hivi karibuni

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.George Joseph Kazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu ya Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Kubingwa Mashaka Simba kuwa Katibu wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla alikuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Aziza Iddi Suwedi kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
  • Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo,Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Maalim,
  • Baadhi ya Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar ni miongoni mwa Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kiapo cha Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar walioapishwa leo na Viongozi wengine kazi iliyofanya na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
  • Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakipitia hati zao za viapo kabla ya kuapishwa Rasmi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kushika wadhifa walioteuliwa hafla ya kiapo ilifanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Khamis Ramadhan Abdala kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM TAIFA IKULU DAR.

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akiendesha Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo,
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
  • Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam
  • Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungamo Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa,Spika wa Bunge Jamhuri nya Muungano Mhe.Job Ndugai,Spika wa baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,
  • Wajumbe wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua kikao hicho kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein amewaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Balozi Hussein Said Khatib kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Jaji Hamid Mahmoud Hamid kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Mabrouk Jabu Makame kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Rukia Mohammed Issa kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Juma Ali Juma kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Issa Mohammed Suleiman kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ali Rajab Juma kuwa Mjumbe wa Tume ya Utumishi wa Umma katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na kuhudhuriwa na Viongozi mbali mbali,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Joseph Abdalla Meza kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dkt,Idris Muslim Hija kuwa Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bibi Salama Mbarouk Khatibu kuwa Mkuu wa Wilaya yaMicheweni Pemba katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Kapteni Khatib Khamis Mwadini kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi A.Unguja,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Rashid Hadid Rashid kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Abeid Juma Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Pemba katika hafla iliyofanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Bakari Haji Bakari kuwa Katibu Mtendaji wa Bazara la Biashara la Zanzibar hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Ali Khamis Juma kuwa Naibu Katibu .Mkuu wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,kabla ya Uteuzi huo alikuwa Naibu Katibu Wizara ya Fedha na Mipango
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Bw.Iddi Haji Makame kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango,hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar