State House Blog

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM

  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kamati Kuu na Halmashari Kuu ya Taifa uliofanyika katika ukumbi wa whit house Dodoma.
  • Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli,Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abduraham Kinana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara.Philip Mangula wakiwa wamesimama baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa White House Dodoma kwa ajili ya mkutano huo.
  • Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiimba mara baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika ukumbi wa mkutano (*White House) *mjini Dodoma.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika ukumbi wa mkutano wa white house Dodoma kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. Dk Ali Mohamed Shein.(Picha Ikulu)
  • Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM wakimsikiliza Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Dkt John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa white house Dodoma.
  • Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa katika ukumbi wa mkutano wa white house Dodoma kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. Dk Ali Mohamed Shein.
  • WAJUMBE wa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa wakipitia makabrasha ya mkutano kabla ya kuaza kwa kikao hicho kilichofanyika katika ukumbi wa White House Dodoma.
  • Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akizungumza na kuwaaga wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kumaliza muda wake.

Dk.Shein afunga Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoani Dodoma.

  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Hall Dodoma wakati wa ufungaji wa Mkutano huo baada ya kukamilika kwa taratibu za uchaguzi wa Wajumbe na Mwenyekiti na Makamu wake
  • Baadhi ya wageni waalikwa wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamesimama wakati mgeni rasmin akiingia katika ukumbi wa mkutano.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwenyekiti wa Wazazi anayemaliza muda wake Alhajj Abdallah Kalembo alipowasili katika ukumbi wa Mkutano wa Kikwete Hall Dodoma.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi anayemaliza muda wake Abdllah Kalembo, wakielekea ukumbi wa mkutano.
  • Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania wakiwa wamesimama wakiimbi nyimbo ya kumpokea Makamu Mwenyekiti alipowasili katika ukumbi wa mkutano kwa ajili ya ufungaji.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr.Binilith S.Mahenge.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana alipowasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma kwa ajili ya ufungaji wa Mkutano Mkuu wa Wazazi Tanzania.

Dk. Shein akiufunga Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu wa CCM Abrahaman Kinana wakiingia katika ukumbi wa mkutano wa Tisa wa UVCCM. ukumbi wa chuo cha mipando dodoma
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa tISA WA UVCCM katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Chuo cha Mipango Dodoma wakati akifunga mkutano huo na kutowa nasaha zake kwa Viongozi waliochaguliwa
  • Wajumbe wa Mkutano Mkuu waUVCCM wakishangilia wakati wa kutangazwa matokeo ya uchaguzi tarehe 11 Dec 2017
  • Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James akihutubia na kutowa shukrani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo kwa kura nyingi katika uchaguzi mkuu wa jumuiya hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma Tarehe 11 Dec 2017
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi wapya wa UVCCM Makamu Mwenyekiti UVCCM Tabia Maulid na katikati Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano Tarehe 11 Dec 2017.
  • Wageni waalikwa waliowahi kuwa Viongozi wa nafasi mbalimbali katika UVCCM wakifuatilia mkutano huo wakati wa ufungaji wake uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma
  • Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Shein akifunga mkutano huo baada ya kumalizika shughuli za uchaguzi uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma Tarehe 11 Dec 2017.
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa UVCCM wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kufungwa na kuwapungia mikono Wajumbe wa Mkutano hu Tarehe 11 Dec 2017
  • Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein akifurahia picha yenu sura yake baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Kheri Denice James, kulia Katibu Mkuu wa CCM Abdurahaman Kinana.

Mkutano Mkuu wa UVCCM Dodoma Chuo cha Mipango.

  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,alipowasili katika Ukumbi wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Dodoma Chuo cha Mipango.
  • MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi Taifa John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa UVCCM,katika ukumbi wa Chuo cha Mipango Dodoma, akitowa nasaha zake kwa Wagombea na Wajumbe wa mkutano huo

Mkutano Mkuu wa Tisa wa UWT Kikwete Hall mjini Dodoma

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika ukumbi wa mkutano wa Mkuu wa UWT Kikwete Hall mjini Dodoma akiongozana na Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Salama Aboud Talib
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akiwa katika meza kuu akiwa na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakishangiria wakati akitangazwa mshindi wa nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UWT katika ukumbi wa Kikwete Hall