Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Kombe kwa Mabingwa wa Mapinduzi Cup Yanga Afrika baada ya kuifunga Simba
Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi ametembelea maonyesho
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi Aamezungumza na Mwakilishi wa Unesco Tanzania
Kilele cha Sherehe za 57 Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Biashara Benki ya NBC Ndg,Obedy Ngavatula (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Foundation Bi.Tully Esther Mwambapa (kushoto) akitoa maelezo wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya kazi mbali mbali katika shamra shamra Uzinduzi wa Tamasha la Kizimkazi 2023 lililozinduliwa leo katika viwanja vya Kashangae Paje Wilaya ya Kuzini Unguja kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan
Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Askofu Mkuu Wa Kanisa La Tanzania Assemblies Of God
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kutowa pongezi zake kwa Rais na (kulia kwa Askofu) Rev. Dikson Kaganga, Askofu wa Jimbo la Zanzibar, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11/12/2020
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr.Barnanas Weston Mtokambali (kulia kwa Rais) akiwa na Askofu wa Jimbo la Zanzibar Rev.Dikson D.Kaganga, walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God. Dr.Barnanas Weston Mtokambali, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumpongeza hafla hiyo imefanyika leo 11/12/2020 katika ukumbi wa Ikulu