Dk.Shein awafutarisha wananchi wa Wilaya ya Micheweni Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Swala ya Magharibi Iliyoswalishwa na Sheikh Ukasha Hijja Shariff (mbele) kabla ya Futari aliyoiandaa katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipojumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar,(kushoto) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi,Mwenyekiti wa CCM MKoa wa Kaskazini Pemba Mzee Mberwa Hamad Mberwa (wa pili kulia) na Mzee Haji Nasibu Nyanya (kulia).
Sheikh Omar Hamad (kushoto) alipokuwa akitoa Shukurani kwa Niaba ya Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Omar Khamis Othman akitoa Shukurani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa ushiriki wao wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyowaandalia katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Baadhi ya Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Baadhi ya Akinamama wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika Futari iliyoandaliwa jana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni,Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (wa pili kulia) akijumuika na Viongozi akinamama na Wananchi wengine wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari aliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Wananchi baada ya kumaliza kwa Futari iliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni, Wilaya ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi pamoja na Viongozi wengine waliojumuika katika Futari aliyowaandalia Wananchi wa Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Viwanja vya Ikulu Ndogo ya Micheweni ikiwa ni katika mpangilio wake wa kuwafutarisha Wananchi na Waislamu wa Wilaya mbali mbali katika Mikoa ya Zanzibar.
Benk ya PBZ wafutarisha.
Rais wa Zanzibar *na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Khalid Salum Mohamed alipofika katika viwanja vya Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi alipohudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya (PBZ) Nd,Juma Ameir Hafidh alipofika katika viwanja vya Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi alipohudhuria katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakiitikia Dua iliyoombwa baada ya Swala ya Magharibi kabla ya Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) iliyofanyika jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Viongozi mbali mbali na Waislamu wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) hafla iliyofanyika jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo kila mwaka Benki hii Wanawafutarisha wananchi mbali mbali.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Nd,Juma Ameir Hafidh (wa tatu kulia) pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakichukua chakula cha Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi mbali mbali na Waislamu wakichukua chakula cha Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mji
Viongozi mbali mbali na Waislamu wakiwa katika Futari iliyoandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) hafla iliyofanyika jana katika Hotel Verde iliyopo Mtoni Wilaya ya Mjini,Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo kila mwaka Benki hii Wanawafutarisha wananchi mbali mbali.
Dk.Shein amekutana na Ujumbe kutoka Saudi Arabia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Misaada,Daawa na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,akifuatana na Ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Daawa,Misaada na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake,(katikati) Mkalimani wa lugha) Sheikh Khalid Mohammed Mrisho.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Misaada, Daawa,na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipofuatana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Daawa,Misaada na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kushoto) baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake,(hawapo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Waziri wa Mamlaka ya Saudi Arabia anayeshuhulikia Mambo ya Kiislamu,Daawa,Misaada na Miongozo Mhe,Dk.Sheikh Saleh bin Abdul Aziz bin Muhammad bin Ibrahim Al Sheikh,(kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao akifuatana na Ujumbe wake,(hawapo pichani).
Mkutano wa Halmashauri kuu ya Taifa.
Mwenyekiti wa CCM Taifa pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (kushoto pichani) alipokuwa akipeana mkono wa pongezi na Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Taifa Mzee Abdulrahman Omar Kinana mara baada ya kukubaliwa kustaafu katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa(NEC) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM Taifa pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana (katikati) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) na Makamo Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula wakiwakaribisha Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe.Mizengo Kayanza Petter Pinda na Makongoro Nyerere (hawapo pichani) walipoteuliwa kuwa wajumbe katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli alipokuwa akisoma barua ya maombi ya Kustaafu Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana (kulia) wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam (kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakisoma Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa walipokuwa wakipiga kura ya kuwachangua wajumbe wa Kamati Kuu Ya CCM Taifa katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam nchini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura kuchagua wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wa Bara na Visiwani katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana akitoa shukurani zake kwa Wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu wa CCM Taifa (NEC) mara baada ya kustaafu rasmi nafasi yake kwa kukitumikia kwa muda mrefu katika Chama cha CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam chini Mwenyekiti wake Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jonh Pomne Magufuli.
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Taifa Mzee Abdulrahman Omar Kinana ahukurani zake kwa wajumbe hao wakati wa Mkutano Mkuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam nchi ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani).
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akisoma barua ya maombi ya Kustaafu Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana ,wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe.Mizengo Kayanza Petter Pinda (kulia) na Makongoro Nyerere wateuliwa kuwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa pia kuchaguliwa kuwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam Chini ya Mwenyekiti wa Mkutano huo Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani).
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akisoma barua ya maombi ya Kustaafu Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana ,wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani) alipokuwa akisoma barua ya maombi ya Kustaafu Katibu Mkuu wa CCM Mzee Abdulrahman Omar Kinana ,wakati wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wajumbe walipokuwa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Taifa Mzee Abdulrahman Omar Kinana ahukurani zake kwa wajumbe hao wakati wa Mkutano Mkuu ya CCM Taifa (NEC) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam nchi ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (hayupo pichani).
Kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyofanyika Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (kulia) wakiimba Wimbo wa Chama mara walipoingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kilichofanyika.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja.