Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshma ya gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma katika kilelel cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanziibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sherehe zilizofanyika Mkoani Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Sera Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Walemavu Jenesta Joakim Muhagama wakatri alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinumwi Adenisa mara baada ya kumalizika kwa sherehe za madhimisho ya kilele miaka 54 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika mapokezi yake mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Dkt. Bilinith Mahenge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma
Dk. Shein amekutana na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (NEC).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Semistocles Kaijage alipofika Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na ujumbe aliofuatana nao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Jecha Salim Jecha (wa tatu kushoto) mara baada ya kukabidhi Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya Tume hiyo kwa kipindi cha miaka mitano walipofika Ikulu Mjini Zanzibar. 17/04/2018.
Uzinduzi wa chanjo mpya dhidi ya Maradhi ya Saratani la mlango wa kizazi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwenamwema Shein (kulia) alipokuwa akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed na (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan,
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe,Hassan Khatibu Hassan wakati alipowasili viwanja vya Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika (wa pili kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kulia) akionesha kichupa cha Dawa ya chanjo ya kama ishara ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akionesha Kadi ya Chanjo ya Mwanafunzi Wahida Makame Sunna (kulia) baada ya kupatiwa Chanjo ya (HPV) mara baada ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohammed.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (kushoto) akimuangalia Mwanafunzi Wahida Makame Sunna (katikati) akipatiwa Chanjo ya(HPV) mara baada ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Mwakilishi wa Shirika la Misaada la UNFPA Batula Abdia akitoa salamu zake katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Waziri wa Afya Mhe. Hamad Rashid Mohammed na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee, Wanawake na Watoto Mhe.Moudline Syrus Castico
Wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Wauguzi kituo cha Afya Dunga na Wanafunzi wakiwa katika Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,ambapo Mgeni rasmi alikuwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani).
Wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mweanamwema Shein (hayupo pichani),wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya Uzinduzi wa Chanjo mpya Dhidi ya Maradhi ya Saratani ya Shingo ya Mlango wa Kizazi iliyofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Dk. Shein akutana na Ujumbe wa Kampuni ya Kushan Asia Aroma Cooperation wa China.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka C*hina Bw.Zhou Junxue akiwa na Ujumbe wa Viongozi aliofuatana nao leo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akimsikiliza Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka C*hina Bw.Zhou Junxue (katikati) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya "KUSHAN ASIA AROMA COOPERATION LIMITED" kutoka China Bw.Zhou Junxue (kushoto) walipokuwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo (katikati) Bw.Guang William-Meneja Mauzo.
Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid A. Karume kila mwaka tarehe 7 April baada ya kifochake,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji wakati alipowasili katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kama ishara ya kulifungua jengo Jipya la Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi liliopo Chakechake Pemba (kushoto kwa Rais ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (GAVU) na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ng,Salum Maulid Salum na (kulia) hafla ya sherehe ilifanyika l
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiwaongoza Viongozi na Waislamu mbali mbali katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume iliyofanyika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Fatma Karume (wa tatu kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan (wa pili kushoto) Mama Fatma Karume (katikati) na Wake mbali mbali wa Viongozi wakiwa katika Kisomo cha Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
Akina Mama na Vijana wa Madrasa wakisoma Dua wakati wa Khitma ya Marehemu Mzee Abeid Amani Karume ambapo kisomo hichi na dua hufanyika kila mwaka ifikapo tarehe 7 April baada ya kifochake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la mauwa katika kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume baada ya kumalizika kisomo cha Hitma kilichofanyika leo katika ukumbi wa CCM Kisiwandui Mjini Unguja,