MKUTANO WA MAWAZIRI WA SADC,MADINAT AL BAHR MBWENI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan (katikati)
Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) alipokuwa akizungumza katika Mkutano wa Mawaziri wa SADC kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuufungua mkutano huo leo,katika Hoteli ya Madinat Al Bahr,Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe. Haji Omar Kheri na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Magharibi B,Unguja Mhe. Maabadi Ali Maulid, akitembelea barabara hiyo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 5-1-2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Katibu Mtendaji wa SADC Dkt.Stergomena lawrence Tax (kushoto) na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa Rais, Sera, Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Jenista Joakim Mhagama (kulia) mara alipowasili katika Hotel Madinat Al Bahr, Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar kufungua mkutano wa Mawaziri wa SADC
Rrais wa Zanzibar Dk.Shein azungumza na Mwakilishi wa Ras al Khaimah
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al-Khaimah, Bw.Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi,alipofika Ikulu ndogo Migombani Jijini Zanzibar kwa mazungumzo, (kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) Nchini Tanzania. Mhe.Khalifa Abdulrahman Almarzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas Nishant Dighe
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Al Khaimah.Bw,Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani na ujumbe wake kwa mazungumzo, akiwa zanzibar akihudhuria Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,(kulia) Balozi wa Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (UAE) NchiniTanzania.Mhe.Khalifa Abdulrahaman Al Marzooqi na Mkurugenzi Mtendaji wa RAK Gas.Bw.Nishant Dighe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi wa Mtawala wa Ras Khaimahn Bwana Mohamed Ali Musabeh Al Nuaimi, alipofika Ikulu Ndogo Migombani Jijini Zanzibar, kwa mazungumzo, baada ya kuhudhuria sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilifanyika Uwanja Amaan .
Dk.Shein amehutubia Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapininduzi ya Zanzibar Uwanja wa Aman Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza vla Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasalimia Wananchi wakati wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, alipowasili katika jukwaa kuu wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,zilizofanyika katika Uwanja waAmaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Karume na (katikati ) Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt Jakaya Kikwete.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikikagua gwaride Maalum la Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar lililogfanytika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
WANACHAMA wa Chama cha CUF wakishiriki katika Maandamano ya kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar
VIJANA wa payunia wakitowa salamu ya heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa maandamano ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
VIJANA wa Maandamano Maalum ya kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa na Picha za Waasisi wa Mapinduzi, wakati wa hafla hiyo iliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania. Mhe. Benjaman Mkapa,alipowasili katika jukwaa kuu kuhudhuria hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
KIKOSI cha Bendera cha JWTZ wakitowa heshima wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na mizinga 21, katika hafla ya Maadhimisho ya sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
KIKOSI cha JWTZ wakipita kwa ukakamavu kwa mgeni rasmin wa Mandamano na Maonesho ya Amsha Amsha na Mapinduzi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyiuka katika viwanja vya Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Unguja
Kikosi cha KMKM Wanaume wakipita kwa mwendo wa kasi wakati wa hafla ya maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipanda gari Maalum ya JWTZ ilioandaliwa katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar zilizofanyika Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mama Fatma Karume, Mke wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, alipowasili katika jukwaa kuu, wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, alipowasili katika jukwaa kuu wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar,zilizofanyika katika Uwanja wa AmaanZanzibar
WANANCHI wakishiriki katika Maandamano ya kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.
Kikosi cha FFU wakipita kwa mwendo wa polepole wakati wa maadhimisho ya Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ilizofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar
GWARIDE la Kikosi cha JWTZ wakipita kwa mwendo wa pole pole mbele ya mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) wakati likipita katika jukwaa kuu la Viongozi Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein ameweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Nyumba za Kwahani jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Ujenzhi wa Nyumba mpya za Mji wa Kwahani Wilaya ya Magharibi Unguja ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Mradi huo Kwahani Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg.Khamis Mussa, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa na (kushoto kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg.Khamis Mussa, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wananchi wa Kwahani, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Mradi wa Nyumba za Mji Mpya Kwahani Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za Mji Mpya Kwahani Jijini Zanzibar,kutoka Kampuni ya Arqes Africa Ltd .Rose Nestory na (kulia kwa Rais)Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa, ikiwa ni shamra shamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa,akitowa maelezo ya Ujenzi wa Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo unaofanyika katika eneo la kwahani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Nyumba za Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika eneo hilo la ujenzi kwahani ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa Idara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa nyumba za mji mpya wa kwahani jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI ya Wananchi wa Kwahani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za mji mpya wa kwahani jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa akizungumza wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Nyumba za Mji Mpya wa Kwahani Jijini Zanzibar. ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk.Shein amefungua Daraja la Kibondemzungu Barabara ya Fuoni Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, alipowasili katika viwanja vya hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika eneo la daraja hilo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu Fuoni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe Dkt. Sira Ubwa,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapoinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar , (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi , Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dr. Abdalla Juma Mabodi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dkt. Sira Ubwa, hafla hiyo imefanyika katika daraja hilo la kibondemzungu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua daraja hilo baada ya kulifungua, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe.Dkt. Sira Ubwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Mhe. Zuberi Ali Maulid na (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Ndg.Mustafa Aboud Jumbe, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar
BAADHI ya Viongozi wa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi Fuoni wakiimba wimbo wa “Sisi Sote Tumegomboka” wakati wa hafla ya ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
MWANANCHI wa Kijiji cha Fuoni Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja akishiriki katika kuimba wimbo wa “Sisi Sote Tumegomboka” wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu barabara ya fuoni, wakati wa shamrashamra za kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
KATIBU Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar.Ndg.Mustafa Aboud Jumbe akitowa maelezo ya Kitaalam ya Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni kuadhimisha Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Msimamizi wa Mradi Ujenzi la Kibondemzungu.Eng.Cosmas Masolwa, akitowa maelezo ya kitaalum ya ujenzi huo, wakiwa katika daraja hilo baada ya ufunguzi wake uliofanyika 9-1-2020, ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI ya Viongozi wa jukwaa kuu wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia (hayupo pichani) ikiwa ni shamrashamra za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
BAADHI ya Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu barabara ya fuoni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) wakati wa hala hiyo iliofanyika katika eneo hilo
BAADHI ya Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu barabara ya fuoni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) wakati wa hala hiyo iliofanyika katika eneo hilo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Daraja la Kibondemzungu Fuoni, ikiwa shamrashamra za sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Balozi Seif Ali Iddi na ( kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe. Dk. Sira Ubwa.