Maadhimisho ya Miaka 56 ya Sherehe za Elimu Bila ya Malipo Zanzibar.
Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar kama ishara ya kupokea Maandamano yaliyopita mbele yake katika Uwanja wa Mao-Dze Dong katika kilele cha maadhimisho ya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwanafunzi Maimuna Iddi Riziki (asiyeona) wa Skuli ya Umoja Uzini Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuhani utenzi akiwa na mwenzake Ramla Iddi Riziki (asiyeona) katika Uwanja wa Mao-Dze Dong wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 56 ya sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika
Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar wakiwa katika Sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Elimu Bila Malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mao-Dze Dong Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo mgeni rasmi akiwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
Wanafunzi wa Chuo cha Afya kwa mchina wakipita kwa maandamano mbele ya RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) katika Uwanja wa Mao-Dze Dong wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 56 ya sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika
Ufunguzi wa nyumba za mradi wa ZSSF Mbweni Real Estate Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd.Sabra Issa Machano alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam kwa ajili ya kuzifunguya rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(katikati) wakifuatana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd.Sabra Issa Machano pamoja na Viongozi wengine mara baada ya kukagua Nyumba za Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alipofanya ufunguzi rasmi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alizozifunguliwa leo (kulia) Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Suleiman Rashid Mohamed (wa pili kushoto).
Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Mfuko wa ZSSF wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na na wananchi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alizozifunguliwa leo
Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Mfuko wa ZSSF wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Viongozi mbali mbali kutoka taasisi za Serikali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Ni Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Mradi wa Nyumba za makaazi za "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam ajili ya kuzifunguya rasmi
Baadhi ya Wafanyakazi wa Idara mbali mbali za Mfuko wa ZSSF wakiwa katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam zilizofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd.Sabra Issa Machano Makamo (kushoto) mara baada ya kukagua Nyumba za Mradi wa Nyumba za makaazi za"ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alipofanya ufunguzi rasmi leo (kulia) Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Nyumba za Mradi wa "ZSSF MBWENI REAL ESTATE" zilizojengwa na kampuni ya DEZO CIVIL ANGENEERING CONSTRUCTION ya Dar es Salaam alizozifunguliwa leo (kulia) Waziri wa Fedha na Uchumi Mhe.Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi(kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi ya ZSSF Dkt.Suleiman Rashid Mohamed (wa pili kushoto).
Mkutano wa CCM Nungwi Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala wakishangilia mara baada ya mapokezi alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Al;io Iddi,Mgombea Urais wa Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Mwenyekioti wa CCM Kaskazini Umguja Iddi Ali Ameir wakiowa katika mkutano wa kampeni za CCM Nungwi.
MGOMBEA Urais wa Zanzibar Mhe.Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi akliwapungia mkono wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakati alipowasili viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za kumnadi kuomba kura kwa Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi alipowasili katka viwanja vya Mpira Nungwi katika Mkutano wa Kampeni za CCM liofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali akiwemo Mgombea Urais wa Zanzibar (wa pili kushoto) wakiimba wimbo wa Taifa katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Mkutano wa kampeni kuwanadi wagombea wa nafasi ya Urais,Ubunge,Uwakilishi na Udiwani katika viwanja vya Mpira Nungwi Wilaya ya kaskazini A.Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi akiwemo Mgombea Urais wa Zanzibar Suleiman Nassor (Taulo) (wa pili kulia) wakifuatilia kwa makini Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Nungwi Wilaya ya Kaskazini Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Mkutano wa kampeni kuwanadi wagombea wa nafasi ya Urais, Ubunge,Uwakilishi na Udiwani katika viwanja vya Mpira Nungwi Wilaya ya kaskazini A.Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Uzinduzi wa Kampeni za CCM Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Maelfu ya Wana CCM wa Mikoa ya Pemba katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba kwa kumnadi Mgombe wa Urais wa Zanzibar Dkt.HusseinAli hassan Mwinyi zilizofanyika leo uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Maelfu ya WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba kwa kumnadi Mgombe wa Urais wa Zanzibar Dkt.HusseinAli hassan Mwinyi zilizofanyika leo uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Msanii wa Kizazi kipya Nandy akitumbuiza Wananchi na Wana CCM wa Mikoa ya Pemba katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba kwa kumnadi Mgombe wa Urais wa Zanzibar Dkt.HusseinAli hassan Mwinyi zilizofanyika leo uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Maelfu ya WanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba kwa kumnadi Mgombe wa Urais wa Zanzibar Dkt.HusseinAli hassan Mwinyi zilizofanyika leo uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba.
Mgombea Urais wa CCM Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akipokea Ilani ya Chama cha Mapinduzi 2020-2025 kutoka kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein mara baada ya kumtambulisha kwa wanaCCM wa Mikoa ya Pemba katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba zilizofanyika leo uwanja wa Gombanio ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika Uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba zilizofanyika leo uwanja wa Gombani ya Kale Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba
Maelfu ya Wanachi na WanaCCM wa Mikoa wa Pemba wakiwa katika UIzinduzi wa Kampeni za CCM kwa Kuwatambulisha na kuwaombea Kura wagombea wa nafasi mbali mbali ikiwemo Urais wa Zanzibar,Ubunge,Uwakilishi na Udiwani katika Uwanja wa Gombani ya Kale Wilaya ya Chakechake Pemba

Dk.Shein amejumuika na Waislam katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge Salim Hassan Turky (Mr.White)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akiweka mchanga katika kaburi, baada ya kuwekwa mwili wa Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) yaliofanyika katika makaburi ya Fuoni Kijitoupele Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akitowa mkono wa pole kwa Watoto na Familia ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Jijini Zanzibar (CCM) Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) baada ya kumaliza kuusalia mwili wa marehemu katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Zanzibar CCM Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma kilichofanyika katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Sala ya kuusalia mwili wa Marehemu Salim Hassan Abdalla Turky (Mr.White) iliofanyika katika Masjid Noor Mohammad Kwamchina Jijini Zanzibar.na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na (kushoto kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Tofiq Salim Turky, Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali na Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania. Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakijumuika katika Sala ya kuusalia mwili wa marehemu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baeraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Ali Mohamed Shein, akijumuika na Waumini wa Didi ya Kiislam Zanzibar katika kisoma cha dua kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mpendae Jijini Zanzibar Marehemu Salim Hassan Abdallah Turky (Mr.White) kabla ya kuusalia mwili wa marehemu hafla hiyo imefanyika katika Masjid Noor Muhammad Kwamchina na(kushoto kwa Rais) Mtoto wa Marehemu Tofiq Salim Turky,Naibu Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Othman Hassan Ngwali na Makamu wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Omar Saleh Kabi , Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi.wakiitikia dua ya kuhitimisha kisomo cha hitma.