Dk.Shein akutana na uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abduhamid Yahya Mzee(kulia) alipokuwa akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018,kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (katikati) Waziri Issa Haji Ussi Gavu na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salmin Amour Abdulla.
Viongozi katika Idara zilizochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Baadhi ya Maafisa wa Idara mbali mbali wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018 ,kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mshauri wa Rais Masuala ya Utamaduni na Utalii Mhe.Chimbeni Kheri Chimbeni (kushoto) akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwepo na Washauri wengine wa Rais (kulia)Mhe.Burhani Saadat Haji Mshauri wa Rais Ardhi na Ujenzi na Dkt.Mauwa Daftari Mshauri wa Rais Pemba.
Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Dk.Shein amekutana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala ,za Mikoa,Serikali za Mitaa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Maafisa Tawala na Viongozi mbali mbali wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Maafisa wa Vikosi wa SMZ wakifuatilia kwa makini wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Ndg,Radhia Rashid Haroub (hayupo pichani).
Makamanda na Maafisa wa Vikosi wa SMZ wakifuatilia kwa makini wakati wa uwasilishwaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar na Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Ndg,Radhia Rashid Haroub (hayupo pichani).
Uongozi wa Wakuu wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ wakiwa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Ndg,Radhia Rashid Haroub alipokuwa akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 kwa Idara maalum za SMZ katika mkutano uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwepo na Mshauri wa Rais Ushirikiano wa Kimataifa na Uchumi Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa.
Dk.Shein amezungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni,Sanaa na Michezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi wa Mwaka 2017/2018 sambamba na Mpango kazi wa Mwaka 2018-2019, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Waziri wa Vijana,Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Balozi Ali Abeid Karume (katikati) akisoma muhtasari wa Utekelezaji wa Mpango kazi wa Wizara hiyo kwa kipindi cha Julai 2017 hadi Juni 2018 katika kikao cha siku moja cha Uongozi kilichofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee (kulia) na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Lulu Msham Abdalla (kushoto).
Dk.Shein amekutana na Uongozi wa Wizara ya Kilimo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi katika mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Maryamu Juma Abdalla Saadala (kushoto) alipokuwa akisoama utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 katika mkutano wa Uongozi wa Wizara hiyo wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 samba mba na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) na Naibu katibu Mkuu wa Wizara hiyo Ndg,Ahmad Kassim Haji.
Baadhi ya wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili, Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt.Makame Ali Ussi (kushoto) alipokuwa akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 wa Wizara hiyo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo ambapo Mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wengine Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia) na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Rashid Ali Juma.
Mkurugenzi katika Idara ya Maendeleo ya Uvuvi katika Wizara ya Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Nd,Mussa Aboud Jumbe akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa mapango kazi wa mwaka 2017-2018 na mpango kazi wa mwaka 2018-2019 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais Dk.Shein amekutana Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar.
Wizari wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe. Salama Aboud Talib akisoma muhtasari wa taarifa yake katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
Mhandisi Mji Mkongwe Nd,Mussa Awesu (kushoto) alipokuwa akitoa maelezo yanayohusu idara yake hasa Mradi wa Green Corridor unaoanzia Mkunazini hadi Posta Kijangwani wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Ardhi, Nyumba,Maji na Nishati katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,
Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar Ahmeid Rashid akitowa maelezo katika mkutano wa siku moja katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,Mwenyekiti wake akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe. Juma Makungu Juma.
Mkurugenzi Mkuu wa Zura Bw.Haji Kali Hajii akitoa ufafanuzi kuhusu namna Uagiziaji wa Mafuta yanayofika Nchini na hatimae kuuzwa kwa Wananchi wakati wa Kikao cha Uongozi wa Wizara ya Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati katika utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka 2017-2018 na mpango Kazi kwa mwaka 2019-2019 katika ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar.