Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi piaMakamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali (kichupa) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguj
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Katibu wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Bi.Sauda Ramadhan Mpambalimoto mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi wa mashina (Mabalozi), Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Hassan Khatibu Hassan alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi wa mashina (Mabalozi) Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea taarifa ya Mabalozi wa Wilaya ya Kati baada ya kusomwa na Balozi Mkombe Vuai Khamis katika mkutano wa Viongozi Mashina (Mabalozi),Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati katika Ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ramadhan Abdalla Ali.
Mabalozi wa CCM wa Shehia mbali mbali katika Wilaya ya Kati wakinyoosha mikono Juu kuungamkono Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa Viongozi hao na Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Viongozi,Watendaji wa Chama cha Mapinduzi pamoja na Mabalozi wa Wilaya ya Kati wakiimba wimbo wa Taifa “Sisisote Tumegomboka” wakati wa mkutano wa Viongozi mashina(Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mabalozi wa Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Viongozi mashina (Mabalozi) ,Wenyeviti wa Matawi na Makatibu wa Maskani za CCM wa Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali wa mashina wa Wilaya ya Kati na Watendaji wa Chama katika mkutano maalum wa kuimarisha chama cha Mapinduzi uliofanyika leo katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Dk.Shein amekutana na Mabalozi wa Wilaya ya Micheweni na Chake Chake Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) wa Wilaya ya Micheweni katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chakechake wakati wa Mkutano wa Viongozi wa Mashina jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni Wilaya ya Micheweni Mkoani wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Micheweni na Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Micheweni akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chakechake Mkoani wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao jana katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Wanachama na Viongozi wa Mashina ya CCM wa Wilaya ya Chakechake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chake chake alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.
Wanachama na Viongozi wa Mashina ya CCM wa Wilaya ya Chake chake wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro Wilaya ya Chake chake alipozungumza nao akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini.
Balozi Kiembe Khamis Ramadhan akisoma taarifa ya Utekelezaji ya kazi za Mabalozi wa Wilaya ya Chake chake katika mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Fidelcastro mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani), akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitabu cha Zanzibar ya Law, wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Sheria Katiba Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mhe Haroun Ali Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba jana akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Chake chake Mkoani wa Kusini Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Fidelcastro akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Dk.Shein amekutana na Mabalozi wa Wilaya ya Mkoani Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipowasili Skuli ya Sekondari ya Jumapindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba kwa katika Mkutano wa Mabalozi wa Wilaya hiyo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitia sani kitabu cha wageni alipofika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba kwa kuzungumza na Mabalozi akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kusini Pemba Yussuf Ali Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Jumapindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari wa Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein akionesha Ilani ya Chama kwa Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) alipokuwa akizungumza nao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdalla Juma Saadala (Mabodi) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika Mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Ngazi ya Mashina (Mabalozi) katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Mabalozi wa Chama cha Mapinduzi katika Shehia Mbali mbali za Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumzanao katika Ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohamed Juma Pindua Mkanyageni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi.
Kilele cha siku ya Wafanyakazi DUNIANI Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea maandamano ya Wafanyakazi wa Serikali na Sekta Binafsi katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika
Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maaluma wa mshikamano katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Baadhi ya Viongozi na Wafanyakazi wakiwa katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wananchi wakiwa wamejifunika Mvua wakati walipokuwa wakiingika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba, katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Wafanyakazi mbali mbali wa Serikali na Sekta Binafsi wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi mbali mbali wa Serikali na Sekta Binafsi wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba, Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakipita kwa maandamano mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba
Miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea salamu ya heshma ya gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma katika kilelel cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanziibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akikagua Gwaride la heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar sherehe zilizofanyika Mkoani Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Sera Bunge,Kazi, Vijana,Ajira na Walemavu Jenesta Joakim Muhagama wakatri alipowasili katika uwanja wa ndege wa Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) Dkt.Akinumwi Adenisa mara baada ya kumalizika kwa sherehe za madhimisho ya kilele miaka 54 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika mapokezi yake mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Dkt. Bilinith Mahenge mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mkoani humo,ambapo anatarajiwa kushiriki katika sherehe za maadhimishi ya Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania zitakazofanyika,katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma