Utiaji saini Makubaliano Ujenzi wa Bandari ya Abiria Mpiga Duri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akishuhudia Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi na Mwakilishi Mwenza wa Kampuni ya ZF Devco Ndg.Matthew Vander Borgh ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Ndg.Khadija Khamis Rajab kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi akibadilishana hati za saini ya makubaliano Mwakilishi Mwenza wa Kampuni ya ZF Devco Ndg. Matthew Vander Borgh ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi
Baadhi ya Viongozi waliohudhuria saini ya makubaliano ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akitoa hutuba yake katika hafla ya utiaji saini Makubaliano ya ujenzi wa Bandari mpya ya Abiria Mpiga Duri Mkoa wa Mjini Magharibi itakayojengwa na kampuni ya ZF Devco ya nchini Uholanzi katika Maadhimisho ya shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Mhe.Welbe de Boer alipokuwa akizungumza na Viongozi waliohudhuria katika uwekaji saini makubaliano ya Ujenzi wa Bandari ya Abiria Mpiga Duri itakayojegwa na Kampuni ya Zf.Devco ya Uholanzi hafla iliyofanyika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,akiwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya shamra shamra za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja ikiwa ni Shamrashara za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyoko katika eneo la mtaa wa muembeladu Unguja, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa wa ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea jengo la Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, baada ya kuifungua leo 9-1-2024, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (Kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Mhe.Lela Muhamed Mussa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya darasa la somo la Komputa katika Skuli ya Sekonda ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuifungua leo 9-1-2024 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja iliyoko katika eneo la muembeladu na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi kuipongeza Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kwa kukamilisha Mradi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahme Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja iliyoko katika eneo la muembeladu na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhamed Mussa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgulam Hussein, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
MUONEKANO wa jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar iliyofunguliwa leo 9-1-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali, baada ya kuwasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Tumekuja kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli hiyo leo 9-1-2024 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Wilaya ya Mjini Unguja eliyoko katika eneo la muembeladu, hafla hiyo iliyofanyika leo 9-1-2024, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
UFUNGUZI WA BANDARI YA FUMBA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili Fumba kufungua Bandari mpya ya Fumba Ports inayofanya shuhuli za kushusha kontena katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Wananchi na Viongozi waliohudhuria katika Ufunguzi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (wa tatu kushoto) alipokuwa akitoa maelezo kwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati Rais alipotembelea sehemu za Bandari hiyo leo mara baada ya ufunguzi rasmi iliyojengwa Fumba,Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia) Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali
Mwekezaji wa Bandari ya Fumba Ports Bw.Mohamed Jaffar akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakati Rais alipotembelea sehemu za Bandari hiyo leo mara baada ya ufunguzi rasmi, iliyojengwa Fumba,Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakisoma maandishi ya Jiwe la ufunguzi rasmi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Fumba Ports Ndg,Awadhi Ali wakati alipokuwa akiangalia Ramani ya Eneo la Bandari hiyo leo alipofika kuifungua Bandari mpya ya Fumba Ports inayofanya shuhuli za ushushaji wa Makontena ,ikiwa katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed (kushoto) kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa Bandari Mpya ya Fumba Ports katika Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi hafla iliyofanyika leo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
JIWE LA MSINGI UJENZI WA HOTELI YA ZANZIBAR CROWN AND RESORT LIMITED.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo ameweka jiwe la msingi Jengo hili la Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited liliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Viongozi na Wananchi na WanaCCM waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Jengo la Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited,wawekezaji kutoka Nchini New Zealand jengo liliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Viongozi na Wananchi na WanaCCM waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Jengo la Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited,wawekezaji kutoka Nchini New Zealand jengo liliopo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akimsikiliza Mwekezaji wa Mradi wa Hoteli ya Nyota Tano ya Crown Hotel and Resort Zanzibar Makamo Rais ,Bw.Laurent Voivenel alipokuwa akielezea hatua mbali mbali za Hoteli hiyo iytakapo malizika ujenzi wake katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited Bw.Nadhim Al Rawahi alipowasili katika uwekaji wa jiwe la msingi Mradi wa Hoteli hiyo leo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (katikati) Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Ndg. Shariff Ali Shariff (kulia) Rais na Mwenyekiti wa Swiss-Belhotel International Nchini New Zealand Bw.Gavin M.Faull
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akiondosha pazia na Mwenyekiti na Mwekezaji wa Hoteli ya Nyota Tano ya Zanzibar Crown Hotel and Resort Limited Bw.Nadhim Al Rawahi kama ishara ya uwekaji wa jiwe la Msingi Hoteli hiyo leo Mazizini Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi katika shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
JIWE LA MSINGI SOKO LA MWANAKWEREKWE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine, mara baada ya kuweka jiwe la Msingi ametembelea Soko hilo la Mwanakwerekwe na kuangalia maendeleo ya Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed katika uwekaji wa jiwe la msingi Soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakishangilia na Kumpongeza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika uwanja wa soko la Mwanakwerekwe baada ya kuweka jiwe la msingi leo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkwewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Viongozi wengine akipata maelezo kutoka kwa Meneja Shadya Fauziy Mohamed wakati alipokuwa akiangalia michoro ya Soko la Mwanakwerekwe leo alipoweka jiwe la Msingu Ujenzi huo katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na wananchi waliohudhuria katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi soko la Mwanakwerekwe katika shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, akifuatana na Mkewe Rais Mama Mariam Mwinyi (katikati) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Idrissa Kitwana Mustafa (kushoto).