Kikao cha kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyofanyika Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (kulia) wakiimba Wimbo wa Chama mara walipoingia katika Ukumbi wa Mkutano wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja katika kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar alipohudhuria katika kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) kilichofanyika.
Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC)Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakipitia mada mbali mbali kabla ya kuanza kwa kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja.
Dk.Shein amekutana na Balozi Mpya wa Canada,Cuba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe.Alphayo Kidata alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe.Alphayo Kidata alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiagana na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Canada pia akiiwakilisha Tanzania nchini Cuba Mhe.Alphayo Kidata baada ya mazungumzo yao alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.
Uzinduzi wa utowaji wa Ruzuku kwa skuli za Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifungua pazia kama ishara ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari sherehe iliyofanyika katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi Mwalimu Abdalla Mohamed Abdulla (kulia) wa Skuli ya Chokocho Mkoa wa Kusini Pemba, Mfano wa hundi ya Shilingi Millioni Sita Laki Saba na Miatano katika sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil,Kikwajuni Mjini Unguja (wapili kulia) Cornelia Jesse Mwalikishi wa Mwakilishi wa Benki ya Dunia Bella Bird na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akimkabidhi Mwalimu Abdalla Mohamed Abdulla (kulia) wa Skuli ya Fundo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Mfano wa hundi ya Shilingi Millioni Mbili Laki Nane Sitini na Nane Elfu,Mia saba na Hamsini,katika sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil Nombe, Kikwajuni Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali ,Wizara ya Elimu,Walimu na Wanafunzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao katika sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil, Kikwajuni Mjini Unguja.
Baadhi ya Viongozi wa Taasisi mbali mbali ,Wizara ya Elimu,Walimu na Wanafunzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozumza nao katika sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil,Kikwajuni Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Elimu,Taasisi mbali mbali ,Walimu na Wanafunzi katika sherehe ya Uzinduzi wa Utoaji wa Ruzuku kwa Skuli za Sekondari iliyofanyika leo katika ukumbi wa Skeikh Idrissa Abdulwakil,Kikwajuni Mjini Unguja.
Dk.Shein akutana na ujumbe wa Kampuni ya CRCC na CCECC kutika China
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China Bw.Zhuang Shangbiao (kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (wa pili kulia) pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara ya hapa Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China Bw.Zhuang Shangbiao (wa tatu kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akifuatana na Rais wa Kampuni ya Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Bw.Zhao Dianlong (katikati)pamoja na Viongozi waliofuatana nao katika ziara yao hapa Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Rais wa Kampuni ya Railway Construction Corporation (CRCC) kutoka Nchini China Bw.Zhuang Shangbiao (kushoto) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na Ujumbe wake (katikati) Mkalimani Bw.Julius Liu.
Uzinduzi wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi alipofika kulifungua Tawi hilo (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani hafla iliyofanyika katika Wilaya ya Dimani Kichama,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani leo mara baada ya kulifungua rasmi Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi la CCM Fuoni Michenzani Nd,Amina Idarusi na (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala (Mabodi).
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Wananchama wa CCM Tawi la Fuoni Michenzani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipozungumza nao leo mara baada ya kulifungua Tawi jipya la CCM Fuoni Michenzani.