Rais Mwinyi ametembelea Ghala la Mizigo Shirika la Bandari Saateni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akitoa maelekezo kwa watendaji wa Shirika la Bandari wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia Mizigo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi alipofanya ziara maalum ya kikazi (kulia) Kaimu Mkurugenzi Ufundi Shirika la Bandari Salum Uddi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla ya kutembelea ghala la kuhifadhia Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Shirika la Bandari la Zanzibar alipofanya ziara ya hafla leo kutembelea ghala la Mizigo liliopo Saateni Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Mwinyi ametembelea Bandari ya Malindi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mdhibiti wa Bandari Majaliwa Abdalla Rashid Shirika la Bandari wakati alipotembelea Bandari ya Malindi leo mchana akiwa katika ziara ya hafla
Baadhi ya wafanyakazi wa Sehemu mbali mbali katika bandari ya Malindi jijini Zanzibar wakiwa katika maeneo yao ya kazi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea bandari ya malindi leo mchana kuona maendeleo ya kiutendaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) aliposalimiana na wafanyakazi katika bandari ya wakati alipotembelea bandari ya malindi leo mchana kuona maendeleo ya kiutendaji
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi na Kaimu Mkurugenzi Huduma za bandari Nd. Juma Sururu Juma (katikati) wakifuatana pamoja na Ujumbe wake wakati alipotembelea Bandari ya Malindi Jijini Zanzibar leo mchana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea bandari ya Malindi leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa maelekezo kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu Shirika la Bandari Ali Haji Haji wakati alipofanya ziara ya hafla kutembelea bandari ya Malindi
Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi Ameapishwa Rasmin.
JAJI MKUU WA ZANZIBAR Mhe,Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi akiapa kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025.
Viongozi mbali mbali na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kushinda CCM katika Uchaguzi uliopita ambapo anakuwa Rais wa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa na Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Fadhil Omar Nondo na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto) pamoja na Viongozi wengine baada ya kuapishwa rasmi leo katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi baada ya kushinda CCM katika Uchaguzi uliopita ambapo anakuwa Rais wa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Marais Wastaafu na Viongozi wengine wakiwa katika sherehe ya kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mshindi kwa chama cha CCM katika Uchaguzi uliopita ambapo anakuwa Rais wa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Shamsi Vuai Nahodha mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuapishwa rasmi leo kushika wadhifa huo kwa awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride maalum la vikosi vya ulinzi mara baada ya kuapishwa rasmin kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkewe Mama Marium Mwinyi mara baada ya kuapishwa rasmin kushika wadhifa huo awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla ilifanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride maalum la vikosi vya ulinzi mara baada ya kuapishwa rasmin kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
JAJI MKUU WA ZANZIBAR Mhe,Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Studium
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake mara baada ya kuapishwa rasmin leo kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein alipokutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na kumakabidhi rasmi Dhamana za Uongozi mara alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya kuapishwa rasmi katika sherehe zilizofanyika uwanja wa Amaani Studium
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshma ya gwaride maalum la vikosi vya ulinzi mara baada ya kuapishwa rasmin kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshma ya gwaride maalum la vikosi vya ulinzi mara baada ya kuapishwa rasmin kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Viongozi mbali mbali wa Serikali na Chama wakisimama wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshma ya gwaride maalum la vikosi vya ulinzi mara baada ya kuapishwa rasmi kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Viongozi wengine wakisimama kupokea salamu ya heshma ya gwaride maalum la vikosi vya ulinzi mara baada ya kuapishwa rasmin kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Makomando wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakionesha ukakamavu wao katika sherehe za kuapishwa rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) mara alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya kuapishwa rasmi katika sherehe zilizofanyika uwanja wa Amaani Studium
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake mara baada ya kuapishwa rasmin leo kufuatia ushindi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Uliopita, kushika wadhifa wa Urais awamu ya 8 ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar hafla iliyofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar
Dk.Shein amezungumza na Wafanyakazi wa Ofisi ya Faragha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais
Baadhi ya Wafayakazi wakimsikilira Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha, leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar pamoja na kuagana rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipofanya mazungumzo na wafanyakazi wasaidizi wa Rais Ofisi ya Faragha katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar alipowaaga rasmi baada ya kufanyakazi nao pamoja kwa utumishi wake wa Urais
Mkutano wa Kampeni za CCM Dole Magharibi “A” Unguja.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama wakiwa katika katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Vijana wa Chama cha Mapinduzi waliohudhuria mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama wakinyoosha Mikono Juu kuunga mkono Sera za Chama katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akihutubia na kumnadi Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Wabunge.Wawakilishi na Madiwani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Wilaya ya Dimani na Mfenesini Kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A".
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akiwanadi Wagombea wa Ubunge. Uwakilishi na Madiwani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Wilaya ya Dimani na Mfenesini Kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A".
Mgombeas Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akinadi sera za chama na Ilani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo aliahidi mambo mbali mbali ikiwemo Ajira kwa Vijana,
Mgombeas Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akinadi sera za chama na Ilani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo aliahidi mambo mbali mbali ikiwemo Ajira kwa Vijana,
Mgombeas Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akinadi sera za chama na Ilani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu Wilaya ya Dimani na Mfenesini kichama uliofanyika leo katika Uwanja wa Dole Wilaya ya Magharibi"A" ambapo aliahidi mambo mbali mbali ikiwemo Ajira kwa Vijana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akihutubia na kumnadi Mgombea wa Urais wa Zanzibar, Wabunge. Wawakilishi na Madiwani katika mkutano wa kampeni za uchaguzi Mkuu wa Wilaya