State House Blog

Dk.Shein amewatembelea Majeruhi katika Hospital ya Micheweni Pemba.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji mhanga wa matukio ya kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba, kuwatembelea majeruhi 17/10/2020. Akipata maelezo kutoka kwa Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni .Dr. Mbwana Shoka Salim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimfariji mmoja wa wahanga wa matukio ya kupigwa katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Hassan Khamis Hamad, alipofika katika Hospitali ya Micheweni Pemba kuwajulia hali zao leo 17-10-2020. Na kuwafariji.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa majeruhi wa tukio la kupigwa lililotokea katika maeneo ya Kwake Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg.Abdalla Khamis Mbarouk, alipofika katika hospitali ya Micheweni leo 17/10/2020 na (kulia kwa Rais) Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dr.Mbwana Shoka Salim.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Pemba Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo ya mmoja wa majeruhi ya Wahanga wa Matukio ya kupingwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba,Ndg.Yassir Hemed Ali, alipofika katika Hospitali ya Micheweni leo kuwatembelea na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimpa pole mmoja wa Majeruhi ya Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg.Yassir Hemed Ali, akiangalia sehemu aliyopata majeruhi alipofika katika Hospitali ya Micheweni kuwajulia hali na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akipata maelezo ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya kupigwa yaliotokea katika Kijiji cha Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba Ndg. Khatib Said Khatib aliyepata jeraha katika sehemu ya tumbo, wakati akitowa maelezo Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika Kwale Wilaya ya Micheweni Ndg.Khatib Said Khatib, wakati Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo kwa Rais alipofika leo 17/10/2020 kuwatembelea na kuwafariji
  • /RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiangalia picha ya Xray ya mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya Kupigwa yaliotokea katika Kwale Wilaya ya Micheweni Ndg.Khatib Said Khatib, wakati Daktari Dhamana wa Hospitali ya Micheweni Dr. Mbwana Shoka Salim, akitowa maelezo kwa Rais alipofika leo 17/10/2020 kuwatembelea na kuwafariji
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mmoja wa Majeruhi wa Wahanga wa Matukio ya kupigwa yaliotokea katika eneo la Kwale. Wilaya ya Micheweni Pemba,Bi.Raya Khamis Hamad , alipofika katika hospitali ya Micheweni kuwajulia hali leo 17/10/2020
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mmoja wa majeruhi wa Wahanga wa tukio la kupigwa lililotokea katika eneo la Kwale Wilaya ya Micheweni Pemba

Uzinduzi wa Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Mke wa Mgombea Urais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Nyumba za maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar
  • Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akiwaslimia Wananchi wa Jimbo lake la Kwahani pamoja na Viongozi wakati wa sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,mgeni rasm alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bw.Abdi Ameir Ali (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma
  • Baadhi ya Wananchi wa Maeneo mbali mbali wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bw.Ali Hamad Haji (kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akikabidhi funguo kwa Bibi .Hamida Mwinyi Mmadi (wa pili kulia) akiwa ni miongoni mwa Wananchi waliopatiwa Nyumba Mpya katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(wa pili kushoto) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma
  • Wananchi wa Kwahani na maeneo mbali mbali wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo, mgeni rasm alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za ufunguzi wa Nyumba za Maendeleo Mji Mpya wa Kwahani Mjini Zanzibar uliofanyika leo,(kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Balozi Mohamed Ramia Abdiwawa na (wa tatu Kushoto) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dkt.Hussein Ali Hassan Mwinyi

Uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora.

  • Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Vijana,Sanaa, Utamaduni na Michezo Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) Naibu Waziri Lulu Msham Abdalla (kulia) akifuatiwa na Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd.Omar hassan Omar (king) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil mnazi Mmoja Mjini Zanzibar katika Uzinduzi wa Kitabu kiitwacho "Mwalimu Bora wa Soka"uliofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha Kocha Bora uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
  • Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi,Viongozi wengine na Wananchi wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar
  • Mkalimani wa Lugha za Alama akisomea watu wenye tatizo Uziwi katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akinyanyua kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" baada ya kukizindua rasmi leo katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar ambacho kimeandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Wanamichezo na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Makocha mbali mbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" kichozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar,kilichoandikwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Olimpik Tanzania Kocha Gulam Abdalla
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwa wananchi na wanamichezo katika hafla ya uzinduzi wa Kitabu cha "Mwalimu Bora wa Soka" uliofanyika leo Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul Wakil Mnazi Mmoja Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.

Dk.Shein amewatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idara za Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akikagua Gwaride la Maalum la Maofisa wa Idara za Maalum za SMZ kabla ya Kuwatunuku Kamisheni katika hafla hiyo iliofanyika katika viwanja vya Kama KMKM
  • KIKOSI cha Bendera kikitowa shaluti kwa mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein.(hayupo pichani) kwa mwendo wa polepole wakati wa hafla ya kutunukiwa Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
  • MAOFISA wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Zanzibar KMKM wakiwa katika gwaride Maalum baada ya kutunukia Kamisheni na Rais swa Zanzibare na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hafla hiyo imefanyika katika Kambi ya Kikosi Maalum cha Kuzuiya Magendo Zanzibar (KMKM) Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
  • MAOFISA wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar wakila kiapo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A”Unguja.
  • MAOFISA wa Kikosi cha JKU wakitowa heshima kwa mgeni Rais Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) baada ya kutunukiwa Kamisheni leo katika viwanja vya Kambi ya Kikosi Maalu cha Kuzuiya Magendo Zanzibar (KMKM) Kama Wilaya ya Maghaeribi Unguja
  • MAOFISA wa Idara Maalum za SMZ Zanzibar wakila kiapo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais swa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) hafla hiyo imefanyika leo katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A”Unguja.
  • MAOFISA wa Idara za SMZ Zanzibar wakifishana Vyeo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) baada ya kumal;iza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika Viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi”A” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwatunuku Kamisheni Maofisa wa Idara Maalum za SMZ, baada ya kumaliza mafunzo yao hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Kambi ya KMKM Kama Wilaya ya Magharibi “A” Unguja

Mkutano wa Kampeni za CCM Bumbini Makoba.

  • Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa sera za Chama na kuomba kura kwa Wanannchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Wagombea Ubunge na Uwakilishi CCM Jimbo la Bumbwini wakionesha Ilani walizokabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi alipokuwa akitoa sera za Chama na kuomba kura kwa Wanannchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiwaombea kura wagombea nafasi za Uongozi wagombea mbali mbali wa Urais wa Zanzibar pia na Rais wa Muungano,Ubunge ,Uwakilishi na Udiwani wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akimkabidhi Ilani ya Chama cha Mapinduzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mahonda Abdalla Ali Hassan Mwinyi wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu.
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
  • Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
  • Baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakisikiliza sera zilizotolewa na Mgombea Urais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
  • Wanachama wa CCM "Team Mwinyi Kwanza" ni miongoni mwa waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo Jimbo la Bumbwini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja uliowanadi wagombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Octoba mwaka huu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala (Mabodi) wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika leo jimbo la Bumbini Wilaya ya Kaskazini "B" Mkoa wa Kaskazini Unguja,