State House Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akikata utepe kama ishara ya Ufunguzi wa hoteli ya Marijani Resort &Spa.

Rais wa Zanaibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amezunguymza na Mabalozi walioteuliwa hivi karibuni.

Ufunguzi wa Gati ya Mkokotoni Unguja.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Maziko ya Mama Mzazi wa Makamu wa Rais Mstaaf Alhaj Dkt.Mohammed Gharib Bilal.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ambae ni Mlezi wa Matembezi hayo ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)