State House Blog

Uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akifungua Mlango kama ishara ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.ambapo viongozi mbali mbali wa Taasisi ya T-marc wakishuhudia uzinduzi huo,pia akiwepo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi.Kate Somvongsiri(wa nne kulia)
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akipokea "Zawadi ya Upendo na Maendeleo ya Vijana" kutoka kwa Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri(wa pili kulia) Makamo Mwenyekiti wa Bodi ya T-Marc Bw.Alex Mgongolwa. katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.ambapo viongozi mbali mbali walihudhuria (kulia)Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Injinia Zena Ahmed Said.
  • Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,(kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
  • Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).
  • Waziri wa Habari,Vijana,Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita,(kulia) alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na wananchi katika hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
  • Vijana wenye mahitaji maalum waliohudhuria katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipkuwa akitoa hutuba ya uzinduzi wa Mradi huo, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
  • Vijana wa Baraza la Vijana Magharibi "A" pamoja na Vijana mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar
  • Vijana wa Uhamasishaji wakinyanyua mikono juu kuunga mkono hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliyoitoa leo katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 22/2/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Mama Siti Mwinyi wakati alipowasili katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) wakifuatana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi (kushoto) akiwepo na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri, baada ya kutembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kushoto) wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Uhusiano wa T-Marc Ndg.Lilian Mallya wakati walipotembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar(katikati) Waziri wa Habari, Vijana, Utamadunu na Michezo Mhe Tabia Maulid Mwita
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Elimu ya Afya katika Wizara ya Afya Zanzibar Ndg.Hamadi Bakari Magarawa (kushoto) wakati alipotembelea mabanda ya maonesho katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID, hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiwasalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika uzinduzi wa Mradi wa Kijana Nahodha, uliofadhiliwa na USAID,hafla iliyofanyika leo viwanja vya Maisara Jijini Zanzibar.(wa tatu kulia)Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani Bibi. Kate Somvongsiri

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amekutana na Uongozi wa UVUCCM Taifa.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia) alipokuwa akitoa shukurani baada ya mazungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi(katikati) alipokuwa aki zungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi (kulia) akizungumza na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi,(wa pili kulia)
  • Mke wa Rais wa Zanzibar pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe,Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Viongozi wa Ngazi ya Taifa UVCCM waliofika kujitambulisha katika Ofisi ya Taasisi hiyo Migombani Jijiji Zanzibar wakiongozwa na Makamo Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Rehema Omary Sombi (hawapo pichani)

Ufunguzi wa Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa Umoja wa Falme za Kiarabu Zanzibar (UAE).

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan, baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar (katikati) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) wakifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakifurahia Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Waziri wa Nchi anayeshuhulikia Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan Alnahyan, wakifuatana na baada ya mazungumzo mafupi katika hafla ya Ufunguzi wa Ubalozi Mdogo wa Umoja wa falme za Kiarabu hapa Zanzibar,hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Park Hyatt Shangani Mjimkongwe wa Zanzibar (kushoto) Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Kazi,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa vitabu vya aina mbalimbali na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania. Dkt.Godwin Lekundayo, baada ya kumaliza mazungumzo yao walipofika kwa ajili ya kujitambulisha 20-2-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa hilo,kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Sabato Tanzania, ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo (kulia kwa Rais) wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023, kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Uongozi wa Kanisa la Sabato Tanzania, ukiongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo (kulia kwa Rais) wakiwa katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023, kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Askofi Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Askofi Mkuu wa Kanisa la Sabato Tanzania Dkt.Godwin Lekundayo, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 20-2-2023

Uzinduzi wa Maduka ya darajani

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiangalia mchele wa Mbeya wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika Marikiti Kuu ya Darajani Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023,na kuzungumza na Mfayabishara wa Bidhaa za Vyakula katika marikiti hiyo Bw.Seif Khamis Ali na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akilipia Nyama ya Ng’ombe baada ya kuinunua kwa Bw.Ali Hashim mmoja wa Wafanyabiashara katika Marikiti Kuu Darajani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 18-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakimsikiliza Mfanyabishara wa Nyama ya Ng’ombe katika Soko la Marikiti Kuu Darajani Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika Marikiti hiyo kuangalia hali ya bidhaa ya vyakula
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mfanyabiashara wa bidhaa za vyakula katika Marikiti Kuu Darajani Wilaya ya Mjini Unguja.Bw.Seif Khamis Ali, alipofanya ziara ya kustukiza leo 18-2-2023 na katika marikiti kuu darajani na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kusalimiana na Watalii wakitembelea Marikiti Kuu ya Darajani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa ziara yake ya kushtukiza kutembelea Wafanyabishara ya vyakula katika Marikiti Kuu Darajani Unguja leo 18-2-2023