Rais wa Zanzibar Alhaj.Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki katika Maziko ya Marehemu Mwema Omar Jongo 18-2-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kutoa mkono wa pole kwa familia ya Marehemu Bi. Mwema Omar Jongo,Sheikh. Thabit Noman Jongo na Yussuf Khamis Jongo, alipowasili katika viwanja vya Masikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda hatari Wilaya ya Mjini Unguja, kwa ajili ya kujumuika katika dua na Sala ya kumuombea marehemu 18-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisiriki katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Marehemu.Bi.Mwema Omar Jongo, kilichofanyika katika Msikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda hatari Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023,(kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Sheikh Thabit Noman Jongo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua na familia ya Marehemu Mwema Omar Jongo, ikisomwa na Sheikh.Thabit Noman Jongo (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Kwahani Mchanga mwingi,Wilaya ya Mjini Unguja kutowa mkono wa pole kwa familia leo 18-2-2023 ,na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo, baada ya kumalizika Sala ya Maiti ikisomwa na Sheikh Thabit Noman Jongo, iliyofanyika katika Msikiti wa Kwa Mohammed Ali Kibanda Hatari Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Mwema Omar Jongo, ikisomwa na Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa maziko ya Marehemu Mwema Omar Jongo, yaliyofanyika katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 18-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka mchanga katika kaburi la Marehemu Mwema Omar Jongo, wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo 18-2-2023, na (kulia kwa Rais)Sheikh Thabit Noman Jongo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Mwema Omar Jongo, alipofika nyumbani kwa marehemu kwahani mchanga mwingi Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Sheikh. Thabit Noman Jongo na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Viongozi wakati kumalizika kwa sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa kitoa nasaha zake na kusalimia baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipokuwa akiwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu mara baada ya Ibada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Forodhani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi 17/02/2023
Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa, India ( IITM).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa, alipokuwa akiutambulisha Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India,ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amefanya mazungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msaidizi Balozi wa India, Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, katika Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) kutoka India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, alipokuwa akitoa salamu za ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM)ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa mazungumzo.
Dk. Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa, India (IITM).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Msaidizi Balozi wa India Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) leo amefanya mazungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia kwa Rais) ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ukiongozwa na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (wa nne kushoto) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan,mara baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India, ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Msaidizi Balozi wa India, Dar es-Salaam Bw.Manoj Bihari Verma, katika Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) kutoka India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) akimsikiliza Balozi wa India katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Binaya Srikanta Pradhan, alipokuwa akitoa salamu za ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM)ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Mohamed Mussa,alipokuwa akiutambulisha Ujumbe wa Taasisi ya Teknolojia ya Madrasa (Insititute of Technology IITM) ya India ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlota Ozaki Macias,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe. Charlota Ozaki Macias(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias(kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mneni wake Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe.Charlota Ozaki Macias, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 13-2-2023