Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizindua Mifumo ya Kielektroniki katika Utumishi wa Umma katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)Mhe.George Simabachawene.
Baadhi ya Makatibu Wakuu na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti Ndg John Kangano Mwisango (kushoto) kutoka Engo Kampany katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimkabidhi cheti Ndg John Kangano Mwisango (kushoto) kutoka Engo Kampany katika hafla ya Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kulia) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia pichani) akitoa hutuba yake katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman,Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)Mhe.George Simabachawene
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ili azungumze na Viongozi na Wafayakazi mbali mbali katika Kilee cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar,(kulia) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid, Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa
Mawaziri wa Wizara mbali mbali katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika hafla ya sherehe ya kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar leo katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais Mhe.Mama Mariam Mwinyi
Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kumpongeza,iliyotolewa na Taasisi ya Tanzania Women Cross Party Platform (ULINGO)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa TUZO Maalum ya kumpongeza,iliyotolewa na Taasisi ya Tanzania Women Cross Party Platform (ULINGO) akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Mgeni Hassan Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-6-2023
Mwakilishi wa UNicef Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar kwa mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar (wa tatu kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Wasaidizi wa Rais.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF Nchini Tanzania Bi. Shalina Baguhuna, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Ziara ya kumarisha Chama Mkoa wa Kusini Unguja
Mweyekiti wa UVCCM Taifa Ndg.Mohamed Ali Mohamed alipokuwa akisalimia Vijana wa UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja alipojumuika na Viongozi mbali mbali katika ziara ya Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,kukagua mali za Chama katika Mkoa wa Kusini Unguja
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akipokea taarifa ya Chama kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Kusini Unguja Ndg,Asha Mzee kuhusu eneo la Uwekezaji la Chia-bonde Makunduchi Kajengwa akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.
Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM wakimsikiliza Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipozungumza na Vijana wa Chama cha UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja leo alipotembelea Ofisi ya Jumba la Mawe Dunga Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Vijana wa Chama cha UVCCM Mkoa wa Kusini Unguja alipotembelea Ofisi ya Jumba la Mawe Dunga Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama CCM.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akiuliza suala kwa Katibu wa Wazazi Wilaya ya Kusini Ndg.Fadhil Mshamba Juma (kushoto) wakati alipotembelea eneo la Umoja wa Wazazi CCM,Mtule jimbo la Paje ambalo litakuwa la uwekezaji wa miradi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanmzibar Mhe.Dkt.Mohamed Said Dimwa.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika eneo la Uwekezaji la Chia-Bonde Makunduchi Kajengwa akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama Mkoa wa Kusini Unguja leo (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohamed Said Mohamed Dimwa (kushoto) Mkuu wa Mkoa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na Mwenyekiti wa CCM Wilaya Kusini Ndg,Mgana Zidi Khamis
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar pia Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akimsikiliza Katibu wa Wazazi Wilaya ya Kusini Ndg.Fadhil Mshamba Juma (wa pili kulia) alipofika kuangalia eneo la Umoja wa Wazazi CCM,Mtule jimbo la Paje ambalo litakuwa la uwekezaji wa miradi mbali mbali wakati alipotembelea mali za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja leo akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amezinduwa Mradi wa kuwajengea uwezo Vijana ili waweze kujiajiri na kuajirika katika sekta ya uchumi wa Buluu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-5-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 17-5-2023
WANANCHI, Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 17-5-2023
VIONGOZI wa Serikali na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 17-5-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbambali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kumjulia hali Mzee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Bw. Kombo Mzee Kombo alipofika nyumbani kwake Miembeni Jitini Wilaya ya Mjini Unguja kumjulia hali yake leo 13-10-2023, ikiwa ni utaratibu aliojiwekea kuwatembelea Wazee
WANANCHI, Walimu na Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza baada ya kuuzindua Mradi wa Kuwajengea Uwezo Vijana ili Waweze Kujiajiri na Kuajirika katika Sekta ya Uchumi wa Buluu, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 17-5-2023