State House Blog

Maadhimisho ya Siku ya Shukurani na Furaha kwa mlipakodi.

Rais wa Zanzibar ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (Suza) amewatunuku wahitimu wa Mahafali ya 18 Suza.

DK.MWINYI,AMFARIJI MJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki ibada ya swala ya Ijumaa na Waumini wa dini ya Kiislamu katika Swala ya Ijumaa Msikiti Mkuu wa Ijumaa Mali

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na Uongozi Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ikulu.