State House Blog

Ufunguzi wa Gati ya Mkokotoni Unguja.

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Maziko ya Mama Mzazi wa Makamu wa Rais Mstaaf Alhaj Dkt.Mohammed Gharib Bilal.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi ambae ni Mlezi wa Matembezi hayo ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM)

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameweka jiwe la Msingi Kiwanda cha Maji Pemba ikiwa ni shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza vikundi vya mazoezi katika maadhimosho ya kitaifa ya mazoezi ya viungo vya pamoja uwanja wa Amaan Zanzibar.