Rais Dk.Shein awazawadia Wanafunzi waliofaulu vizuri kidatu cha Nne na Sita.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimzawadia Mwanafunzi Fahad Rashid Salum (kushoto) kidato cha Sita Skuli ya Lumumba aliyepata point 3 Sayansi, katika hafla ya kuwazawadia Wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne na Sita 2017-2018 na kupata Daraja la Kwanza na kula nao pamoja Chakula cha Mchana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimzawadia Mwanafunzi Fahad Rashid Salum (kushoto) kidato cha Sita Skuli ya Lumumba aliyepata point 3 Sayansi, katika hafla ya kuwazawadia Wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne na Sita 2017-2018 na kupata Daraja la Kwanza na kula nao pamoja Chakula cha Mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Makamanda wakuu wa Vikosi vay SMZ wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliomaliza masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne waliofaulu vizuri wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliomaliza masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo
Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne waliofaulu vizuri wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliomaliza masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wanafunzi wa Kidato cha Sita wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wanafunzi wa Kidato cha Nne wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wanafunzi wa Kidato cha Nne wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Dk.Shein amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katikahafla iliyofanyika katika ukumbi wa ikulu mjini Zanzibar,akifuatana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katika hafla iliyofanyika leo ukumbiwa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (kulia) baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed.
Kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja alipohudhuria katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
aadhi ya Viongozi na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,(kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka Wananchi waliofariki katika ajali ya Meli MV Nyerere huko Mwanza,ilioyotokea tr 20 mwezi huu, (kushoto)
Uwekaji wa jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Kinuni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar sherehe zilizofanyika leo,akiwepo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pemba Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wananchi na Wanafunzi mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sherehe zilizofanyika sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar,(katikati) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pemba Juma
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimsikiliza Mkandarasi wa Kampuni ya Ujenzi ya Salem Construction LTD Nd,Aziz M.Qurban (katikati) alipokuwa akitoa maelezo baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar
Baadhi ya Wanafunzi waliohudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wanafunzi hao leo katika sherehe Skuli hapo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Wanafunzi katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Skuli mpya Sekondari ya Kinuni Jimbo la Pangawe Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,sherehe zilizofanyika sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar,(kulia) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Riziki Pembe Juma (kushoto) Waziri Kiomgozi Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Kijito Upele Mhe.Shamsi Vuai Nahodha na Naibu katibu Mkuu CCM Zanzibar Dk.Juma Abdala Sadala (wa pili kushoto)
Miongoni mwa madarasa mapya ya Skuli ya Sekondari ya Kinuni Wilaya ya Magharibi"B" Mkoa wa Mjini Magharibi,yaliyowekwajiwe la msingi na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) sherehe zilizofanyika sambamba na Skuli 9 za Sekondari za Zanzibar
Dk.Shein amekutana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambilisha akiwa na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Kenya Nchini Tanzania Mhe.Dan Kazungu alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar akifuatana na ujumbe wake.