State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehutubia maadhimisho ya Miaka Miwili ya Uongozi wake katika ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk,Hussein Mwinyi amefungua mkutano 7th Pan African Humanitarian & Investment Summit Zanzibar 2022”.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na wajumbe wa Bodi ya BOT ukiongozwa na Gavana wa BOT Prof Florens Luoga Pwat.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amekutana na kuzungumza na Naibu Katibu wa Idara ya Kilimo ya Marekani Dkt.Jewel Bronaugh Ikulu Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Mhe Charlotta Ozaki Ikulu