State House Blog

Matembezi na mbio fupi (wogging)kwa ajili ya kuchangia vifaa Tiba Uzazi salama.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokua akiagana na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu, baada ya kumalizika kwa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank Tanzania Bw.Obedi Laiser akiwa ni mdhamini Mkuu, alipokuwa akitoa salam fupi wakati wa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea vifaa mbali mbali vya tiba baada ya kuzindua gari maalum (mobilevan) kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Grtalu Githinyi (kulia),katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania.(kushoto Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akishuhudia zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,inayokabidhi kwa Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu (wa nne kulia) pamoja na viongozi wengine wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
  • Mkurugenzi Mtendaji wa Absa Bank Tanzania Bw.Obedi Laiser akiwa ni mdhamini Mkuu, alipokuwa akitoa salam fupi wakati wa hafla ya kampeni ya kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama sambamba na matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu wakimsikiliza Meneja Vipindi wa kampuni ya Pharm Access Ndg.Faiza Bwanakheri Abbas walipotembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na Mkurugenzi Mkazi wa Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu wakimsikiliza Bi.Fatma Ussi Yahya Afisa Afya ya Uzazi Mama na Mtoto -Kitengo Shirikishi Afya ya Uzazi Wizara ya Afya Zanzibbar,walipotembelea mabanda ya maonesho mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa Mjini Magharibi, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Health Africa-Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiongoza matembezi na mbio fupi kwa hatua ya umaliziaji wa matembezi hayo yaliyoishia katika viwanja vya Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi leo yalioyoandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
  • Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (kulia) akiwa ni mshiriki wa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Suleiman Mkoa wa Mjini Magharibi, akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr. Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa matembezi hayo , ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama
  • Baadhi ya Mawaziri na Viongozi mbali mbali wakisikiliza taarifa ya utekelezaji ya Mkoa wa Mjini Magharibi Iliyowasilishwa mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)akiongoza matembezi na mbio fupi yaliyofanyika Leo kuanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, yalioyoandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama (kulia) Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Hafidh(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla, Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akivalishwa nishani na Mkurugenzi Mkaazi Amref Health Africa-Tanzania Dr.Florence Temu,mara baada ya kumalizika kwa matembezi na mbio fupi yaliyoanzia Kiembesamaki kwa Butlos mpaka viwanja vya Maisara Zanzibar, ambayo yameandaliwa na Shirika la Amref Tanzania yenye lengo la kuchangia vifaa tiba kwa uzazi salama

,MKUTAO WA KITAIFA WA WADAU KUJADILI HALI DEMOKRASIA NCHINI KUELEKEA UCHAGUZI 2024na 2025

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam (kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Sisty Nyahoza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Edward Mpogolo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam uliohudhuriwa na Viongozi na wadau mbali mbali
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,baada ya kuufunga mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar kwa mwaka 2021 /2023 Ngazi ya Cheti Komputa na Hahari, wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar,Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume.(hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 21-1-2023.
  • Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa Hutuba yake katika mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam (kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Michael Battle, Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.Sisty Nyahoza na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Edward Mpogolo
  • Baadhi ya Viongozi na Wad mbali mbali wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
  • Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo.
  • Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
  • Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam ambapo Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
  • Baadhi ya Viongozi na Wad mbali mbali wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
  • Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (kushoto) wakizindua mradi wa "kuimarisha mazungumzo ya vyama vingi vya Siasa na kukuza ushiriki wa Wanawake na Vijana katika michakato ya kisiasa na Chaguzi" hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakati wa Ufungaji wa Mkutano wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024na 2025
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kufunga Ufungaji wa Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
  • Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano wa wa siku mbili wa Kitaifa wa kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo

Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amekabidhi vyeti vya shukrani kwa Wajumbe wa Kamati ya mwaka mpya wa Kiislamu Zanzibar Ikulu mjini Unguja.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar, wakati wa kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Ustadh.Slum Seif Suleiman,kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445,hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa KiislamuZanzibar, wakati wa kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar, wakati wa kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti cha Shukrani Bi.Aziza Omar Hemed, kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
  • WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizunguka, kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Viongozi wa Dini na kukabidhi Vyeti vya Shukrani kwa Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu,hafla hiyo iliyofanyika 21-8-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Sheikh.Mohammed Suleiman Ali, baada ya kumkabidhi Cheti cha Shukrani kwa kutambua mchango wake wa Ushiriki na Ufanikishaji wa Sherehe za Maadhimisho ya Mwaka Mpya wa Kiislamu Zanzibar 1445, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
  • WAJUMBE wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kuwakabidhi Vyeti Wajumbe wa Kamati hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
  • WAGENI Waalikwa katika hafla ya kukabidhi Vyeti kwa Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na Viongozi wa Dini na Wajumbe wa Kamati hiyo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 21-8-2023
  • MUFTI Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa Vyeti kwa Wajumbe wa Kamati ya Mwaka Mpya wa Kiislamu, iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-8-2023 na (kushoto kwake) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Hassan Othman Ngwali

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la Maji Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la MajiZanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 16-8-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi TUZO Maalumu ya Waazilishi wa Kongamano la Maji Zanzibar, Waziri wa Maji,Nishati na Madini Zanzibar.Mhe. Shaib Hassan Kaduara, wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar 16-8-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Maji Zanzibar linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 16-8-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Biashara na Huduma kwa Wateja wa Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Kazija Mussa Msheba, wakati akitembelea Maonesho ya Kongamano la Maji Zanzibar, kabla ya kulifungua, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 16-8-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kulia kwa Rais) Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara
  • WASHIRIKI wa Kongamano la Maji Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Kongamano hilo, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja 16-8-2023

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amehudhuria mkutano wa “China - African women forum”

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akielekea katika nafasi yake baada ya kumaliza kuzungumza katika mkutano wa Ushirikiano Kati ya Wanawake wa Mataifa ya Afrika na China “China –Africa Women Forum” ukizungumzia maendeleo ya Wanawake, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
  • BAADHI ya Wake wa Marasi na Viongozi wa Jumuiya za Wanawake wa China na Afrika wakimsiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani ) akihutubia katika mkutano wa Ushirikiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China 29-6-2023.
  • MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi akihutubia katika mkutano wa “China –Afrika Women Forum” uliohudhuriwa na baadhi ya Wake Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake wa China na Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kutoka kushoto wa saba) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wake wa Marais wa Afrika na Viongozi wa Wanawake kutoka China na Afrika, wanaoshiriki katika mkutano wa Uhusiano wa Wanawake wa China na Afrika “China –Africa Women Forum” kabla ya kuaza kwa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa jengo la Xiangjiang Jimbo la Hunan China
  • WASHIRIKI wa Mkutano wa Uhushirikiano Kati ya China na Afrika “China-Afrika Woman Forum” wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar ma Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika katika ukumbi wa mkutano wa Xiangjiang Jimbo la Hunan China