Tamasha la Michezo Pemba
Wanamichezo wa vikundi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutua yake wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chakechake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Cheti Mwakilishi wa Kikundi cha mazoezi cha IFM cha Dar es Salaam Ndg,Bin Rashid,wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba,Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Cheti Mwakilishi wa Kikundi cha mazoezi cha Zoni A Wilaya Mjini, Khamis Iddi Mohamed,wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba, Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitoa hutua yake wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika leo kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akitoa hutua yake wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar(kushoto) Mke wa Rais wa Zanziar Mama Mariam Mwinyi,akifuatia Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Taia Maulid Mwita 01/01/2023.
Wanamichezo wa vikundi mbali mbali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutua yake wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
Baadhi ya Vikundi vya mazoezi vikipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (hawayupo pichani) wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika leo kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chakechake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
Baadhi ya Vikundi vya mazoezi vikipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (hawayupo pichani) wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika leo kisiwani Pemba katika Wilaya ya Chake chake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023
Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Vikundi mbali mbali vya mazoezi wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika leo kisiwani Pemba,Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea maandamano ya Vikundi mbali mbali vya mazoezi wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba, Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chake chake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyoosha Viungo katika baada ya matembezi ya Tamasha la Bonanza la michezo yaliyofanyika kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mama Mariam Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine wakinyoosha Viungo katika baada ya matembezi ya Tamasha la Bonanza la michezo yaliyofanyika kisiwani Pemba Wilaya ya Chakechake Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza matembezi wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo yaliyo wajumuisha Viongozi mbali mbali na Vikundi vya mazoezi kuanzia Tibirinzi mpaka Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza matembezi wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo yaliyo wajumuisha Viongozi mbali mbali na Vikundi vya mazoezi kuanzia Tibirinzi mpaka Uwanja wa Gombani ya kale katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023.