State House Blog

Dk.Shein amezungumza na Wafanyakazi wa Zbc,Redio.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar alipowasili katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar katika mkutano na Wafanyakazi wa ZBC Redio uliofanyika
  • Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee alipokuwa akitoa ufafanuzi na majibu ya masuala mbali mbali yaliyoulizwa katika mkutano wa Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Redio na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katila ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
  • Mtangazji wa Habari wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio Khadija Ali Hassan alipokuwa akiuliza suala wakati wa Wafanyakazi wa Shirika hilo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio wakiwa katika mkutano chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
  • Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio wakiwa katika mkutano chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud Thabit Kombo

Uzinduzi wa Vitambulisho Vipya vya Kieletroniki (SMART CARDS)

  • Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika Uzinduzi rasmi wa vitambulisho vipya wa Kieletroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar Mkaazi uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake Uzinduzi wa Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi katika hafla ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi Mama Mwanamwema Shein mara baada ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi kama ishara ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maluum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheir wakati wa hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kitambulisho kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi Makamo wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohamed Gharib Bilali mara baada ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akionesha kitambulisho chake kipya cha Kielektriniki (SMART CARDS) mara baada ya kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) wakati wa Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
  • Baadhi ya Wananchi wa waliohudhuria katika ya Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho vipya vya Kielektroniki (SMART CARDS) vya Mzanzibar Mkaazi uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar chini ya usimamizi wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia mfano wa Kitambulisho chake kipya cha Kielektroniki (SMART CARDS) cha Mzanzibar Mkaazi wakati wa Uzinduzi rasmi wa Vitambulisho hivyo uliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar chini ya usimamizi wa Ofisi ya Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar

Mktano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu alipowasili katika viwanja vya Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar leo katika ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA)
  • Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu akitoa hutuba yake ufunguzi wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
  • Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa siku nne wa umuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar JAJI Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mhe,Othman Chande Othman (kushoto) pamoja na Majaji na Viongozi mbali mbali wakiwa katika ufunguzi wa Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
  • Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA alipokuwa akitoa Salamu za Jumuiya hiyo katika Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
  • Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakiwa katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) ulioanza leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel iliyopo Nje ya Mji wa Zanzibar,(kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Jaji Mkuu wa Zanzibar Sheikh Omar Othman Makungu (katikati) Spika wa Baraza la Wawailisi Zanzibar Zubeir Ali Maulid(wa pili kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatibu Hassan(kulia) Rais wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki Angelina Rujazana kutoka nchini RWANDA (kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim na Makamo mwa Pili wa Rais wa zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,wakismama wakati wimbo wa Tifa ukipigwa katika Mkutano wa siku nne wa Jumuiya ya Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) kumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,

Dk.Shein afungua maonesho ya maadhimisho ya siku ya chakula duniani viwanja vya Chamanangwe Pemba

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba , kulia Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri.
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akitembelea banda la Maonesho la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar.(ZSTC) wakati wa hafla ya maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla ya ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Afisa wa Chuo Cha Mafunzo Zaameja.Khamis Seif, wakati akitembelea maonesho hayo katika Kitali cha Shamba la Mihindi na Mtama katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, wakitembelea banda la Maonesho la Kikundi cha Ulimwengu wa Miti Mirefu, wakati wa ufunguzi wa Maonesho ya Siku ya ChakulaDuniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwapungia mkono Wananchi katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba wakati akitembelea maonesho ya Kilimo baada ya kuyafungua rasman leoakiwa na Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri
  • BAADHI ya Wananchi Kisiwani Pemba wakifuatilia hafla ya Ufunguzi wac Maonesho ya Siku ya Chakula Duniani katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akihutubia na kuyafungua maonesho hayo
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiangalia Lulu wakati akitembelea banda la maonesho la Kikundi cha Tujikomboe cha Makombeni Wilaya ya Mkoani Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar.Ali Abdalla Ali, akitowa maelezo wakati akitembelea banda la maonesho la Chuo cha Mafunzo viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiuliza suali wakati akitembelea maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba akitembelea kitalu cha minazi.

Dk.Shein amezungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani Pemba.

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani, akiwa katika ziara yake Pemba.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Chake chake Pemba.Mhe. Suleiman Sarahani alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mohammede Juma Pindua Wilaya ya Mkoani.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamede Shein,akiwapungia mkono Wananchi wa Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua kuzungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mkoani.
  • WAZEE wa CCM Wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati wa mkutano wake na Wazee hao uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.
  • WAZEE wa CCM Wilaya ya Mkoani Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, wakati akizungumza na Wazee hao katika ukumb wa Sekondari ya Mohammed Juma Pindua Mkoni Pemba.
  • MZEE Issa Nassor Issa akichangia wakati wa mkutano wao na Makamu Mwenyekiti wa CC Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari Mohammed Juma Pindua Mkoani Pemba.