DKT. JOHN MAGUFULI AMELIZINDUA LEO BUNGE LA 12 JIJINI DODOMA
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na kuagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma leo baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa Bunge la 12 na (kulia kwa Dk.Magufuli ) Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi na (kushoto kwa Dd. Mwinyi) Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Seleiman Abdulla na Naibi Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Akcson, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akulihutubia na kulizindua
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na (kulia kwake) Mama Mary Majaliwa na na (kushoto kwake) Mke wa Rais Mstaaf wa Tanzania Mama Siti Mwinyi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania likizinduliwa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma
WAGENI waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Bunge hilo wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia (hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa hafla ya Uzinduzi wake uliofanyika
MARAIS Wastaaf wa Tanzania kutoka kushoto Rais Mstaaf wa Awamu wa Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaaf wa Awamu ya Nne Mhe Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe. John Malecela na Makamu wa Rais Mstaaf Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakihudhuria hafla ya ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akilihutibia leo Jijini Dodoma.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli akilihutubia Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati wa hafla ya Uzinduzi wake uliofanyika leo, 13/11/2020 katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma
Dk.Mwinyi amewasili Dodoma kuhudhuria ufunguzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano Tanzania
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Bilinith Mahenge, alipowasili Uwanja ndege wa Dodoma leo jioni 12/11/2020, kwa ajili ya kuhudhuria uzinduzi wa Bunge la 12 la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania utakaofanyika kesho 13/11/2020
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubi Baraza la Kumi Wawakilishi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa na Kikosi cha FFU, kwa ajili ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya Baraza Chukwani
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia na kulifungua.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar
MARAIS Wastaaf wakifuatrilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akilihutubia Baraza leo wakati wa ufunguzi huo wa kwanza Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe. Ali Hassan Mwinyi. Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.DSkt. Amani Karume,Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe Dk. Ali Mohammed Shein na Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
MAKATIBU Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid, alipowasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia na kulifungua
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia na kulifungua
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea Salamu ya Heshima kutokwa kwa gwaride maalum la Kikosi cha FFU wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Maryam Mwinyi, wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, bkabla ya kulihutubia Baraza la Kumi na kulifungua rasmin leo 11/11/2020. Wakati Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe Zuberi Ali Maulid (hayupo pichani ) akizungumza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakifurahia jambo na (kushoto kwa Rais) Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi, wakiwa katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, wakiwa nje ya ukumbi wa Mkutano wa Baraza, baada ya kulifungua leo na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Rais Mstaaf wa Awamu ya Sita Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, wakiwa katika viwanja vya Ofisi ya Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar lililofunguliwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akilihutubia Baraza la Kumi la Wawakilishi Zanzibar wakati wa hafla ya ufunguzi wa Baraza hilo leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar
Dk.Hussein Ali Mwinyi ametoa shukurani na pongezi kwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Fadhil Omar Nondo (aliyesimama) alipokuwa akitoa neno la kumshukuru mbele ya Rais mara baada ya Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupongezwa kwa kufanikisha kusimamia vyema kwa Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kufanikisha kusimamia vyema kwa Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid baada ya mazungumzo na kuishukuru na kuipongeza Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amemuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimpongeza na kumkabidhi Hati yake ya Kiapo baada ya kumuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ya pamoja na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9/11/2020, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisaini Hati ya Kiapo ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdalla, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.