State House Blog

Dk Shein amekutana na Wajumbe wa Baraza la Biashara Zanzibar Ikulu.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi .Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biahara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salkum Ali na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi .Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Biahara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salkum Ali na Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Ramia Abdiwawa.
  • KATIBU Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar Ndg. Juma Hassan Reli na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar. Mhe. Hassan Khamis Hafidh wakiwa na baadhi ya Wakuu wa Wizara za SMZ wakifuatilia mkutano huo wa Baraza la Biashara Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibaer
  • WAJUMBE wa Baraza la Biashara Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) akizungumza wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • BAADHI ya Wakuu wa Wizara za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatila kikao cha mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali wa kwanza Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Said Hassan Said, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Mohammed Aboud Mohammed na Waziri Asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe. Juma Ali Khatib, wakifuatila taarifa katika makabrasha yao wakati ikiwasilishwa katika mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar na Katibu Mtendaji Baraza la Biashara Zanzibar Ndg. Bakari Ali Bakari
  • KATIBU Mtendaji wa Baraza la Biashara Zanzibar Ndh Bakari Ali Bakari akiwasilisha taarifa wakati wa kikao cha mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,na kuongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani ) kulia Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee
  • NAIBU Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania Ndg.Mcha Hassan akizungumza wakati wa Kikao cha mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
  • MJUMBE wa Baraza la Biashara Zanzibar Bi. Naila Jidawi akizungumza wakati wa mkutano wa Kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.
  • WAZIRI wa Kilimo Maliasi Mifugo na Uvuvi Zanzibar. Mhe Mmanga Mjengo Mjawiri akizungumza wakati wa mkutano wa kikao cha Baraza la Biashara Zanzibar kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • KAMISHNA Idara ya Ukuzaji Uchumi na Mashirikiano baina ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi Zanzibar (PPP) Wizara ya Fedha na Mipango Dr.Rahma Salim Mahfoudh, akiwasilisha Mada kuhusiana na fursa za Sekta za Umma na Binafsi, wakati wa mkutano wa Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.

Dk.Shein amezungumza na Balozi wa Nigeria Ikulu jijini Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozo wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Ia Gada (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • *NO.8021///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Isa Gada, wakibadilishana mawazo baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria aliofuatana nao.(Picha na
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozo wa Nigeria Nchini Tanzania Mhe. Dkt. Sahabi Ia Gada (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Nigeria mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mgeni wake Balozi wa Nigeria Nchini Tanzania.Mhe.Dkt. Sahabi Isa Gada, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar

Dk.Shein amezungumza na Balozi Mdogo wa China

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohmed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa China anaefanyia kazi zake Zanzibar Bw. Xie Xiaowu wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kusalimiana.

Dk.Shein azungumza na Gavana wa BOT Profesa Florens

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa.Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa. Florens Luoga, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais akiongozana na Ujumbe wake (kulia) yaliofanyika katika wa ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mgeni wake Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.(BOT) Profesa Florens Luoga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.

Rais Dk.Shein azungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Ikulu

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu.
  • KATIBU wa Rais Ndg. Haroub Shaib Mussa akijibu swali lililoulizwa wakati wa kuwasilishwa kwa taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020,katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, mwenyekiti wake alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein
  • BAADHI ya Wakuu wa Idara mbalimbali za Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia kikao hicho cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kikiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Salum Maulid, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji ya Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu Ndg, Salum Kassim Ali na Naibu Katibu Mkuu Baraza la Mapinduzi. Ndg Salmin Amour Abdaalla. Wakifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasailishwa
  • BAADHI ya Washauri wa Rais wakifuatila mkutano wa uwasilishaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Ndg. Salum Kassim Ali akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwailisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kulia) Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ndg. Salum Maulid.
  • MKURUGENZI Idara ya Uendeshaji na Utumishi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Makame Juma Ha akijibu swali wakati wa kuwasilisha kwa taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk.Mapinduzi.Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • MKURUGENZI Mipango Sera na Utafiti Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Ndg Mwadini Haji akijibu swali wakati wa mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani)
  • BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali Ofisi ya Rais Ikulu wakifuatilia mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Ofisi hiyo kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019/2020, wakati ikiwasilishwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Ndg. Salum Maulid.(hayupo pichani) kikao kilichofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.