Rais Dk.Mwinyi akiwaapisha Makamishna.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Makamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umaa, iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar.
Bi.Asha Khamis Hamad akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
VIONGOZI wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bi.Asha Khamis Hamad kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Bw.Yahout Hassan Yakout akila kiapo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj .DK. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Bw.Yahout Hassan Yakout kuwa Kamishna wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma, katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar
Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakipiga saluti wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali,wakiwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali wakisimama Wimbo wa Taifa Ukipigwa katika hafla ya Kuapishwa Makamishana wa Tume ya Utumishi wa Umaa leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYTI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIA MRADI WA UJENZI WA SOKO LA KISASA CHUINI UNGUJA LEO.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Wajenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja wakati wa ziara yake ya kushtukiza, kutembelea ujenzi wa Mradi huo 4-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed, wakati wa ziara yake ya kustukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 4-3-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Wakala wa Mejengo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.Mhandisi Mansour Mohammed Kassim akitowa maelezo ya Kitaalum ya ujenzi huo, wakati alipofanya ziara ya kustukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja leo 4-3-2023 kujionea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo.
MAFUNDI wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Zanzibar, wakiendelea na uwekaji wa nondo katika Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Chuini Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA UJENZI WA MRADI WA SOKO LA KISASA JUMBI UNGUJA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar Luteni Kanali-Khamis Bakar Khamis, wakati wa ziara yake ya kushtukiza kutembelera Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Jumbi Wilaya ya Magharibi “B”Unguja 4-3-2023, kuangalia maendeleo ya ujenzi wa Soko hilo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar Luteni Kanali - Khamis Bakar Khamis, akitowa maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiwa katika ziara yake ya kushtukiza,linalojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo Zanzibar na (kulia kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa maelekezo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Masoud Ali Mohammed (kulia kwa Rais) na Kamishna wa Chuo Cha Mafunzo Zanzibar Luteni Kanali.-Khamis Bakar Khamis, baada ya kumaliza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 4-3-2023, alipofanya ziara ya kushtukiza
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI ATEMBELEA UJENZI WA MRADI WA SOKO LA KISASA MWANAKWEREKWE UNGUJA LEO.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ziara yake ya kushtukiza kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 4-3-2023, na (kushoto kwa Rais) MKUU wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdalla Daima. Mradi wa ujenzi huo unaojengwa na JKU.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdallah Daima.(kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 4-3-2023, kutembelea Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdallah Daima.(kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 4-3-2023, kutembelea Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya Ujenzi wa Mradi wa Soko la Kisasa Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) Kanali Makame Abdallah Daima.(kushoto kwa Rais) wakati wa ziara yake ya kushtukiza aliyoifanya leo 4-3-2023, kutembelea Mradi huo kujionea maendeleo ya ujenzi wake
Mazishi ya aliyekuwa Mheshimiwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimpa mkono wa pole Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid mara baada ya swala ya Maiti kumswalia Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla 03/03/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Viongozi baada ya Swala ya Ijumaa na kuswalia Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi 03/03/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (wa tano kulia) akijumuika na Viongozi na Waumini wa Dini ya Kiislamu kumuombea dua Mwili wa Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi baada ya Swala ya Ijumaa 03/03/2023.