State House Blog

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa ameagwa.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) ukipigwa wimbo wa taifa wakati wa hafla ya kuagwa baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.
  • Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) wakiwa na Viongozi wengine wakati wa hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.
  • Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) wakiwa na Viongozi wengine wakati wa hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu
  • Viongozi na Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA) na wananchi mbali mbali wakiwa katika hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.
  • Mke wa Mgombe Urais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi na Mke wa Makamo wa Rais Mstaafu Mama Asha Bilali (katikati) wakiwa na Viongozi wengine wa Chama na Serikali wakati wa hafla ya kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar (SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu
  • Viongozi mbali mbali akiwepo Mgombe Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Mwinyi (wa pili kulia) wakiwa katika hafla ya kuagwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akifurahia zawadi aliyopewa katika hafla ya kuagwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Cha Zanzibar(SUZA) Dk.Ali Mohamed Shein baada ya Utumishi wake wa miaka kumi (2010-2020) hafla iliyofanyika leo ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu.

Ufunguzi wa Jengo la “Michezani MALL” Mjini Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kulia) pamoja na Viongozi wengine wakipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd,Nasra Issa Machano alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar mara baada ya kulifungua rasmi,hafla iliyofanyika leo Michenzani Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akiwa mgeni rasmi akijumuika na Viongozi mbali mbali alipokata utepe kulifunguwa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Makamo Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali alipowasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) akiwa mgeni rasmi akijumuika na Viongozi mbali mbali katika kufunguwa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akifuatana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Nd,Nasra Issa Machano pamoja na Viongozi wenginei alipotembelea sehemu mbali mbali za Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar mara baada ya kulifungua rasmi,hafla iliyofanyika Michenzani Mjini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akisalimiana na Makamo Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Mohamed Gharib Bilali alipowasili katika Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar lililojengwa na Kampuni ya CREJ kutoka Nchini China hafla iliyofanyika leo viwanja vya Mapinduzi Squre Michenzani
  • Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Zanzibar Mall Michenzani Mjini Zanzibar hafla iliyofanyika

Mkutano wa Kampeni za CCM Mnazi Mmoja Mjini Unguja.

  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea Urais wa Tanzania Mhe John Magufuli uliofanyika katika uwanja wa mnazi mmoja Jijini Zanzibar
  • RAIS Mstaaf wa Tanzania Awamu ya Pili Mhe Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Mgombea Urais wa Tanzania ambae pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzxania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar kuhudhuria Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania uliofanyika
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani

  • Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia wanaCCM na Wananchi alipowasili katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Zanzibar leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • Maelfu ya WanaCCm na wananchi wa Zanzibar waliofurika katika Viwanja vya Mnazi mmoja leo katika kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu zinazoendelea kuwananadi Wagombea akiwemo Rais wa Tanzania na rais wa Zanzibar pamoja na Wabunge na wawakilishi pia Madiwani
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,.Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania Mhe. John Magufuli uliofanyika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
  • VIONGOZI wa Jukwaa Kuu wakiwa wamesimama wakati wakiitikia dua ikisomwa na Sheikh Sharif Abdulraham Muhidin (hayupo pichani) kabla ya kuaza kwa mkutano wa kampeni wa CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Magufuli uliofanyika katika Uwanja Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
  • WAKE wa Viongozi wakifuatilia hutuba ya Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.John Pombe Magufulia akiwahutubia Wanachama wa CCM Zanzibar katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar leo 3/10/2020 na kuwaombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi na Wabunge, Wawakilishi na Madiwani wa CCM na kujiombea kura yeye mwenyewe kwa Wananchi
  • MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Mhe, Dkt. John Magufuli akilisakata rumba wakati wa mkutano wake wa kampeni uliofanyika uwanja wa Mnazi Mmoja leo 3/10/2020 na (kushoto kwake) Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Mwinyi na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na Viongozi wengine wa CCM wakijumuika katika kulishata rumba na msani Zuchu
  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akihutubia wakati wa mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli uliofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar na kuwaomba kura Wananchi wa Zanzibar na kumuombea Kura Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt.John Magufuli na Wagombea Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa CCM Zanzibar
  • MGOMBEA Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi MheDkt. John Pombe Magufuli akisakata rumba na Msanii wa muziki wa Kizazi kipya Zuchu wakati alipopanda jukwaa la wasanii katika uwanja wa Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar wakati wa mktano wake wa kampeni uliofanyika
  • WANACHAMA wa Cha Cha Mapinduzi Zanzibar wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli (hayupo pichani) akihutubia na kuwaombea Kura Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi na Wabunge, Wawakilishi na Madiwa wa CCM, wakati wa mkutano huo uliofanyika uwanja wa mnazi mmoja Jijini Zanzibar

Mkutano wa Kampeni CCM Mgombea Urais wa Zanzibar Makunduchi.

  • MGOMBEA Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally, alipowasili katika uwanja wa Jamuhuri kuhudhuria mkutano wa Kampeni ya CCM Mkoa wa Kusini Unguja
  • UMATI wa Wanachama wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa na bango la picha za Wagombea Urais wa Zanzibar Mhe Hussein Mwinyi na Mgombea Urais wa Tanzania Mhe.Dkt John Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja

  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Dkt.Bashiru Ally, wakiwa katika jukwaa la viongozi wakati wa mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi , uliofanyika katika uwanja wa ,pira wa jamuhuri Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja
  • TEAM Mwinyi Kwanza wakifuatilia mkutano wa Kampeni ysa Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi yaCCM MheDk. Hussein Mwinyi uliofanyika katika uwanjwa wa mpira Jamuhuri Makunduchi
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe Ali Hassan Mwinyi alipowasilim katika uwanja wa mpira wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe Dk. Hussein Mwinyi
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Rais Mstaaf wa Tanzania Mhe.Ali Hassan Mwinyi, alipowasili katika Uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuria mkutano wa kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar
  • MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar MheDk. Hussein Mwinyi alipowasili uwanja wa Jamuhuri Makunduchi kuhudhuriac mkutano wa kampeni ya mgombea Urais wa Zanzibar.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanMAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar uliofan