State House Blog

Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017,cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika mkutano wa Utekelezaji wa Mpango kazi kwa mwaka wa Fedha Julai-Juni 2017/2018 uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
  • Wakuu wa Mikoa na Wilaya wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha siku moja cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
  • Baadhi ya Wakurugenzi mbali mbali na Maafisa katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa wakiwa katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
  • Naibu Waziri Mhe.Shamata Shaame Khamis (kulia) akiwa na Wakuu wa Mikoa katika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),alipozungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za ikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha siku moja cha Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017, kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya NchI Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika kikao cha siku moja cha **Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa katika **Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja

Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

  • Viongozi katika Idara zilizochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
  • Wasaidizi wa Rais wa Zanzibar wakiwa katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
  • Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abduhamid Yahya Mzee(kulia) alipokuwa akichangia katika mkutano wa utekelezaji wa mpango wa Kazi kwa mwaka wa Fedha wa 2017-2018,kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (katikati) Waziri Issa Haji Ussi Gavu na (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salmin Amour Abdulla.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai-Septemba 2017 kilichofanyika katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

Dk.Shein akutana na ujumbe wa Shirika la Help Age International.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani "Help Age International" Bw.Arun Maura alipoongoza ujumbe aliofuatana nao ulipofika Ikulu Mjini Unguja.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Shirika la kuwahudumia Wazee Duniani "Help Age International" ulioongozwa na Mwenyekiti Bw.Arun Maura (wa pili kulia) wakati ulipofika Ikulu Mjini Unguja.

Sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72 ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mratibu Mkaazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo UNDP Nchini Tanzania Bw.Alvaro Rodriguez wakati alipowasili katika Hoteli ya Serena Zanzibar jana katika sherehe za Umoja wa Mataifa UN kutimiza miaka 72 tokea kuasisiwa kwake

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za kutimiza miaka 72  ya Umoja wa Mataifa UN, tokea kuasisiwa kwake zilizofanyika jana katika Hoteli ya Serena Mjini Zanzibar,
 

Dk.Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na MipangoMipango   katika kikao cha Utekelezaji

  • Baadhi ya Viongozi wa Idara mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na Uongozi wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai- Septemba 2017 kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja