Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuia ya Madola Barani Afrika.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed SheiN akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai wakati alipoongoza ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanziobar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed SheiN akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Rwanda Mhe.Edda Mukabagwiza akiwa miongoni mwa ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanziobar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai (wa pili kulia),walipofika Ikulu Mjini Zanziobar
Uzinduzi wa Mfumo wa kuimarisha usalama katika mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akibonyeza kitufe kama ishara ya Uzinduzi wa mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,wakiwepo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe. Zubeir Ali Maulid,Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifungua pazia kuashiria kuzindua kituo cha mfumo wa Kuimarisha Usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika hapo Ofisi za Kituo kiliopo Maisara, kinachoendeshwa na Kampuni ya Rom Solutions Security Division Nchini Romania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi,(wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Akram Mjengo Mjawiri wakati alipoingia katika gari lenye mitambo maalum ya kuchunguzia mambo mbali mbali wakati wa Uzinduzi wa kituo cha mfumo wa Uimarishaji wa Usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika hapo Ofisi za Kituo kiliopo Maisara, kinachoendeshwa na Kampuni ya Rom Solutions Security Division Nchini Romania
Baadhi ya Magari yenye mitambo maalum ya kuchunguzia mizigo yakiwa katika maeneo ya Ofisi ya mitambo ya kisasa ya mradi wa Mfumo wa Kuimarisha Usalama kwa Mji wa Zanzibar ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alitembelea Mitambo hiyo na kufanya uzinduzi rasmi
Viongozi na Kampuni ya Rom Solition wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba nyake katika Uzinduzi wa mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na Maafisa kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba nyake katika Uzinduzi wa mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na Maafisa kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika Uzinduzi wa Mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar, mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Bw.George Alexandru Mkuu wa Mradi mfumo wa Kuimarisha Usalama katika Mji wa Zanzibar unachoendeshwa na Kampuni ya Rom Solutions Security Division Nchini Romania,kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar baada ya uzinduzi wa kituo hicho uliofanyika Maisara Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar
Rais Dk.Shein awazawadia Wanafunzi waliofaulu vizuri kidatu cha Nne na Sita.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimzawadia Mwanafunzi Fahad Rashid Salum (kushoto) kidato cha Sita Skuli ya Lumumba aliyepata point 3 Sayansi, katika hafla ya kuwazawadia Wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne na Sita 2017-2018 na kupata Daraja la Kwanza na kula nao pamoja Chakula cha Mchana katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimzawadia Mwanafunzi Fahad Rashid Salum (kushoto) kidato cha Sita Skuli ya Lumumba aliyepata point 3 Sayansi, katika hafla ya kuwazawadia Wanafunzi waliomaliza kidato cha Nne na Sita 2017-2018 na kupata Daraja la Kwanza na kula nao pamoja Chakula cha Mchana leo katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
Makamanda wakuu wa Vikosi vay SMZ wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliomaliza masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne waliofaulu vizuri wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliomaliza masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo
Baadhi ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne waliofaulu vizuri wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliomaliza masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wanafunzi wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wanafunzi wa Kidato cha Sita wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wanafunzi wa Kidato cha Nne wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Wanafunzi wa Kidato cha Nne wakiwa katika Sherehe za kuwazawadia wanafunzi wa Kidato cha Nne na Sita waliofaulu masomo na kupata daraja la Kwanza pamoja na kula chakula cha mchana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Dk.Shein amekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katikahafla iliyofanyika katika ukumbi wa ikulu mjini Zanzibar,akifuatana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katika hafla iliyofanyika leo ukumbiwa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (kulia) baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed.
Kikao cha Kamati maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala alipowasili katika viwanja vya Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja alipohudhuria katika Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja
Baadhi ya Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
aadhi ya Viongozi na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akiendesha kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiendesha Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,(kulia)Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Juma Abdalla Sadala na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Wajumbe wa Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Zanzibar kichofanyika katika ukumbi wa CCM Ofisi Kuu Kisiwandui Mjini Unguja,wakisimama kwa dakika moja kuwakumbuka Wananchi waliofariki katika ajali ya Meli MV Nyerere huko Mwanza,ilioyotokea tr 20 mwezi huu, (kushoto)