State House Blog

Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Masikiti wa Masjid Al Noor Unguja Ukuu Kaepwani na kujumuika katika Ibada ya Swala ya Ijumaa.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Uongozi wa Taasisi ya Mkapa Ikulu Zanzibar.

Ziara ya kutembelea Visima vya Maji safi na Salama Bumbwisudi Wilaya ya Magharibi “A” Unguja.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akamehudhuria Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania yaliofanyika Uwanja wa Mao Zedung.

Utiaji saini Mkataba wa mashirikiano ya uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimaqtaifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.